Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Tuanze kuponda kichwa cha koboko CCMHii ni hakika..
Kuna misingi ya miungu ya uongo na ushetani wenyewe umejengwa ktk nchi yetu.
Hii madhabahu (altar) ya miungu na ushetani huu uko kwenye ikulu yetu kwenye "kiti cha u - Rais"..
Thank God, kwamba sasa watu tunaanza kuuona ukweli huu kwa njia dhahiri kabisa..
Na vijana wa kizazi hiki hatuko tayari kuona hii kitu inaendelea..
Tuko tayari kubomoa misingi (madhabahu) za kishetani zilizojengwa ktk nchi yetu kwa kutumia silaha za masafa marefu toka mbinguni ktk ulimwengu wa roho..
👍Nimeona mkuu
Tunamheshimu lakin alikuwa Tapeli mkubwaWrong.
Wavaa makobaziNadhani uwezo wako wa kufikiri hauna tofauti na kuku
Umejaa ujinga,
But wengi wanaomchukia Nyerere ni walee wafuasi wa....
Mwendazake anateseka 🔥 bora mkamfanyie maombiTunamheshimu lakin alikuwa Tapeli mkubwa
Nani waliopewa kesi ya uhaini taja wa3?Kila aliyepingana naye alifukuzwa serikalini, kwenye chama na Aliwekwa kizuizini au kupewa keai za uhaini.
Hakuna siri tena
Maoni ya mtoto wake haya.Badali ya kumwita mtu" illiterate" ,unamwita mtu " msikivu".
Yule mdada mmoja( mzungu) alikua anamsifu sana Samia jana.
Anasema,"you can take a girl out of Zanzibar,but you can't take Zanzibar out of a girl.'
Mimi sijamsifu rais huyu,lakini pia bado sijampinga.
Kwa sababu ukimsifu mtu,utaambiwa tupe sababu kumi. Ukimkashifu,utaambiwa tupe sababi kumi kwa nini umemkashifu.
Kama rais huyu atapata matatizo,nitasoma katika gazeti,as a complete surprise, as it was in the case of Magufuli.
Kwa vile it is not safe kuwasema vibaya viongozi waliopo madarakani sasa hivi,unataka kuwasema vibaya viongozi wa zamani.
Sasa,mimi nipo kijijini,na hapa, I am just 50 metres from the grave.
Umesema mwenyewe Nyerere alikuwa left- wing politician. Kwa hiyo it is irrelevant kumtaja sasa kwa sababu hiyo siyo siasa yetu sasa.
Inahusiana na Huu Uzi??Mwendazake anateseka 🔥 bora mkamfanyie maombi
TitiNani waliopewa kesi ya uhaini taja wa3?
Hao wahaini ulitaka waachwe?? Bora walikaa jela wakachiwa maana kisheria walifaa kunyongwaTiti
Oscar
Aboud
Tuntemeke
Among others
Maana ndio rais mwenye roho mbaya kama shetaniInahusiana na Huu Uzi??
kwa kumulinganisha na nani??View attachment 2988212
Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni.
Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of transparency, lack freedom of speech nk ni katika failures kubwa sana chini ya uongozi wake.
Kuna masuala mengi sana yanaonesha huyu mzee wtu hakuwa anafanya mambo kwa maslahi na ustawi wa taifa bali ni aidha kwa maelekezo, ubinafsi, hofu ama ajenda anazozijua mwenyewe.
View attachment 2988271
Suala la Muungano linamuweka sana uchi mzee wetu huyu na ndo kama legacy aliyotuachia basi warithi wake wote hawataki kugusa wala kubadili utafikiri ndo kiapo chao.
Julius ametuachia huu mgogoro mkubwa sana na hajawahi kuutolea ufafanuzi wa kitaalamu na kisheria zaid ya kutumia nguvu.
View attachment 2988353
Kwa waliosoma kitabu cha “The dark side of Nyerere’s legacy” by Ludovick Simon Mwijage mtakubaliana nami kuwa sasa Ni wakat wa kuanza kujadili mienendo na maamuzi ya mwalimu na kuondoa dhana ya utakatifu wa bila kuhoji.
Ni wakati wa kubadili FALSAFA NA MITAZAMO YA MWALIMU
Unahangaika na marehemu wakati wenzetu wanapambana na teknolojia kuhakikisha wanatafuta maisha kwenye sayari zingine,waafrika tulilogwa na malaika mchafuNyerere ni binaadamu kila mwana Adam ana makosa yake sasa imekuwa vibaya Nyerere kukosolewa makosa yake?.
Wewe umefanya lipi la maana kwenye kufatilia hayo ya kwenye sayari mpaka sasa?.Unahangaika na marehemu wakati wenzetu wanapambana na teknolojia kuhakikisha wanatafuta maisha kwenye sayari zingine,waafrika tulilogwa na malaika mchafu
Ni NJE YA MADA . Kaanzishe uzi au tafuta nyuzi zinazomuhusuMaana ndio rais mwenye roho mbaya kama shetani
Suala la Muungano tumlinganishe na nani?kwa kumulinganisha na nani??
Lazima tutafute wa kumlinganisha kwanza?? otherwise mwandishi hana akili
Kwa kutofautiana mtazamo na Rais?Hao wahaini ulitaka waachwe?? Bora walikaa jela wakachiwa maana kisheria walifaa kunyongwa
nawwSuala la Muungano tumlinganishe na nani?
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ana sura nyingi katika siasa za Tanzania, Africa na Duniani kote.Tunamheshimu lakin alikuwa Tapeli mkubwa