Ni wakati wa kuondokana na John Mrema hapa CHADEMA

Embu toa ujinga na utoto wako hapa wewe. Unaongea kama nani? Unajua CHADEMA ni mali ya nani? Unajua ni nani aliyemuweka hapo Mrema? Unamchango gani kwa CHADEMA hadi uanze kuipangia watu wa kuongoza? Kwa hiyo hutaki CHADEMA ife? Kwani wewe ni mbumbumbu na kipofu hadi ushindwe kuelewa kuwa CHADEMA ni genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo? Nani alikulazimisha kujiunga CHADEMA? Kwaniniusiiondoke na kuanzisha chama chako ili uone kama ni rahisi kujenga chama? Umekaa humu jukwaani unapiga makelele yako na kuropoka ropoka Hovyo hovyo tu wakati huna Msaada wowote ule kwa CHADEMA.

Kama una akili Timamu kichwani mwako na unajitambua vyema basi njoo haraka sana CCM.
 
CHADEMA haitajitoa kwenye uchaguzi kwasabubu mwaka 2019 CHADEMA haikushinda hata kitongoji kimoja, hivyo mwaka huu hata CHADEMA ikishinda kitongoji kimoja itakuwa ni ushindi mkubwa.
Nadhani kuna namna viongozi wa chadema wananufaika na drama zinazofanywa na ccm ktk uchaguzi. Bila hivyo tusingesikia ama kuona kauli kama hizi zikitolewa na viongozi wa chama.

Watu wanapoteza rasilimali fedha na mida halafu wanakatwa, lkn anatokea kiongozi anaongea maneno ya kuudhi kama haya?
 
Sijui kama mbowe atakubali hii kazi apewe Erythrocyte Γ ache kazi za ndani.
 
Nadhani mwenezi, mwenyekiti na katibu mkuu wamepwaya

Na wanatukatisha tamaa wapenda mageuzi
 
Aliyepwaya siyo Mrema tu, hadi MWENYEKITI wake DJ Mbowe kapwaya.
 
Yaani aruke mkojo, akanyage mavi?
 
PUMBAVU
 
Chawa wa mzee huyo hapo hatoki...elewa neno MZEE
 
Kwa mara nyingine mbowe amefanya biashara, trust me jamaa ni opportunistic sana. Mbaya ameilemaza chadema. Lisu out, lema out, heche out, msigwa out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…