johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
😂😂😂😂Kwa hiyo unataka aseme uongo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Kwa hiyo unataka aseme uongo!
Mtu aliyelaaniwa kwa kumwaga damu za watu wasio na hatia hawezi kutoa laana ndiyo maana yuko kuzimu sasa hiviLaana ya Dk Magufuli ni kali sana
Lete AndikoChadema 🐼
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Bunge na Mawasiliano wa Chadema mh John MremaLete Andiko
Nadhani kuna namna viongozi wa chadema wananufaika na drama zinazofanywa na ccm ktk uchaguzi. Bila hivyo tusingesikia ama kuona kauli kama hizi zikitolewa na viongozi wa chama.CHADEMA haitajitoa kwenye uchaguzi kwasabubu mwaka 2019 CHADEMA haikushinda hata kitongoji kimoja, hivyo mwaka huu hata CHADEMA ikishinda kitongoji kimoja itakuwa ni ushindi mkubwa.
Wapi waliposema ni mwenezi?Mkurugenzi wa Uchaguzi, Bunge na Mawasiliano wa Chadema mh John Mrema
😂😂
Sijui kama mbowe atakubali hii kazi apewe Erythrocyte àache kazi za ndani.Naomba nitoe ushauri Kwa chama changu Cha CHADEMA, kwamba imefika wakati tuondokane na Business as usual. Kuna Afisa mmoja wa CHADEMA anaitwa John Mrema ambaye kwa ujumla anahusika na uenezi wa chama. Huyu jamaa kusema ukweli amepwaya Sana. Yani hiyo nafasi ni kama haimfai na ni kama amelazimisnwa kufanya. Amejifungia ndani Sana, Wala hatembei kukieneza chama. Na siku akitoka kuongea anaongea pumba.
Kwanini nasema hivyo, huyu Mrema anadai CHADEMA haitajitoa kwenye uchaguzi kwasabubu mwaka 2019 CHADEMA haikushinda hata kitongoji kimoja, hivyo mwaka huu hata CHADEMA ikishinda kitongoji kimoja itakuwa ni ushindi mkubwa. Najiuliza ya kwamba mwaka 2019 CHADEMA ilijitoa kwenye uchaguzi ule ila Leo Mrema anatudanganya kwamba CHADEMA walishiriki.
Nia aibu kwa CHADEMA kuwa na Mwenezi aliyezubaa Kama huyu, ni muda kutafuta Mwenezi atakaye saidia kuleta vijana kwenye chama na kuwavutia watu kusikiliza hoja na matamko ya CHADEMA.
Kusimamia Uchaguzi, Bunge na Mawasiliano Ndio Uenezi wenyewe we Bavicha 😄Wapi waliposema ni mwenezi?
We kapuku bado upo?Chadema imeshajikatia tamaa
Nadhani mwenezi, mwenyekiti na katibu mkuu wamepwayaNaomba nitoe ushauri Kwa chama changu Cha CHADEMA, kwamba imefika wakati tuondokane na Business as usual. Kuna Afisa mmoja wa CHADEMA anaitwa John Mrema ambaye kwa ujumla anahusika na uenezi wa chama. Huyu jamaa kusema ukweli amepwaya Sana. Yani hiyo nafasi ni kama haimfai na ni kama amelazimisnwa kufanya. Amejifungia ndani Sana, Wala hatembei kukieneza chama. Na siku akitoka kuongea anaongea pumba.
Kwanini nasema hivyo, huyu Mrema anadai CHADEMA haitajitoa kwenye uchaguzi kwasabubu mwaka 2019 CHADEMA haikushinda hata kitongoji kimoja, hivyo mwaka huu hata CHADEMA ikishinda kitongoji kimoja itakuwa ni ushindi mkubwa. Najiuliza ya kwamba mwaka 2019 CHADEMA ilijitoa kwenye uchaguzi ule ila Leo Mrema anatudanganya kwamba CHADEMA walishiriki.
Nia aibu kwa CHADEMA kuwa na Mwenezi aliyezubaa Kama huyu, ni muda kutafuta Mwenezi atakaye saidia kuleta vijana kwenye chama na kuwavutia watu kusikiliza hoja na matamko ya CHADEMA.
🤣🤣🤣🤣CCM ni matapeli, CHADEMA ni wakora.
Chizi wewe Magufuli ni mungu? Kamfufue uzikwe wewe na kizazi chakoLaana ya Dk Magufuli ni kali sana
Aliyepwaya siyo Mrema tu, hadi MWENYEKITI wake DJ Mbowe kapwaya.Naomba nitoe ushauri Kwa chama changu Cha CHADEMA, kwamba imefika wakati tuondokane na Business as usual. Kuna Afisa mmoja wa CHADEMA anaitwa John Mrema ambaye kwa ujumla anahusika na uenezi wa chama. Huyu jamaa kusema ukweli amepwaya Sana. Yani hiyo nafasi ni kama haimfai na ni kama amelazimisnwa kufanya. Amejifungia ndani Sana, Wala hatembei kukieneza chama. Na siku akitoka kuongea anaongea pumba.
Kwanini nasema hivyo, huyu Mrema anadai CHADEMA haitajitoa kwenye uchaguzi kwasabubu mwaka 2019 CHADEMA haikushinda hata kitongoji kimoja, hivyo mwaka huu hata CHADEMA ikishinda kitongoji kimoja itakuwa ni ushindi mkubwa. Najiuliza ya kwamba mwaka 2019 CHADEMA ilijitoa kwenye uchaguzi ule ila Leo Mrema anatudanganya kwamba CHADEMA walishiriki.
Nia aibu kwa CHADEMA kuwa na Mwenezi aliyezubaa Kama huyu, ni muda kutafuta Mwenezi atakaye saidia kuleta vijana kwenye chama na kuwavutia watu kusikiliza hoja na matamko ya CHADEMA.
Kwa hiyo na wewe ukifa utakuwa umelaaniwa?Mtu aliyelaaniwa kwa kumwaga damu za watu wasio na hatia hawezi kutoa laana ndiyo maana yuko kuzimu sasa hivi
Yaani aruke mkojo, akanyage mavi?Embu toa ujinga na utoto wako hapa wewe. Unaongea kama nani? Unajua CHADEMA ni mali ya nani? Unajua ni nani aliyemuweka hapo Mrema? Unamchango gani kwa CHADEMA hadi uanze kuipangia watu wa kuongoza? Kwa hiyo hutaki CHADEMA ife? Kwani wewe ni mbumbumbu na kipofu hadi ushindwe kuelewa kuwa CHADEMA ni genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo? Nani alikulazimisha kujiunga CHADEMA? Kwaniniusiiondoke na kuanzisha chama chako ili uone kama ni rahisi kujenga chama? Umekaa humu jukwaani unapiga makelele yako na kuropoka ropoka Hovyo hovyo tu wakati huna Msaada wowote ule kwa CHADEMA.
Kama una akili Timamu kichwani mwako na unajitambua vyema basi njoo haraka sana CCM.
PUMBAVUNaomba nitoe ushauri Kwa chama changu Cha CHADEMA, kwamba imefika wakati tuondokane na Business as usual. Kuna Afisa mmoja wa CHADEMA anaitwa John Mrema ambaye kwa ujumla anahusika na uenezi wa chama. Huyu jamaa kusema ukweli amepwaya Sana. Yani hiyo nafasi ni kama haimfai na ni kama amelazimisnwa kufanya. Amejifungia ndani Sana, Wala hatembei kukieneza chama. Na siku akitoka kuongea anaongea pumba.
Kwanini nasema hivyo, huyu Mrema anadai CHADEMA haitajitoa kwenye uchaguzi kwasabubu mwaka 2019 CHADEMA haikushinda hata kitongoji kimoja, hivyo mwaka huu hata CHADEMA ikishinda kitongoji kimoja itakuwa ni ushindi mkubwa. Najiuliza ya kwamba mwaka 2019 CHADEMA ilijitoa kwenye uchaguzi ule ila Leo Mrema anatudanganya kwamba CHADEMA walishiriki.
Nia aibu kwa CHADEMA kuwa na Mwenezi aliyezubaa Kama huyu, ni muda kutafuta Mwenezi atakaye saidia kuleta vijana kwenye chama na kuwavutia watu kusikiliza hoja na matamko ya CHADEMA.
Chawa wa mzee huyo hapo hatoki...elewa neno MZEENaomba nitoe ushauri Kwa chama changu Cha CHADEMA, kwamba imefika wakati tuondokane na Business as usual. Kuna Afisa mmoja wa CHADEMA anaitwa John Mrema ambaye kwa ujumla anahusika na uenezi wa chama. Huyu jamaa kusema ukweli amepwaya Sana. Yani hiyo nafasi ni kama haimfai na ni kama amelazimisnwa kufanya. Amejifungia ndani Sana, Wala hatembei kukieneza chama. Na siku akitoka kuongea anaongea pumba.
Kwanini nasema hivyo, huyu Mrema anadai CHADEMA haitajitoa kwenye uchaguzi kwasabubu mwaka 2019 CHADEMA haikushinda hata kitongoji kimoja, hivyo mwaka huu hata CHADEMA ikishinda kitongoji kimoja itakuwa ni ushindi mkubwa. Najiuliza ya kwamba mwaka 2019 CHADEMA ilijitoa kwenye uchaguzi ule ila Leo Mrema anatudanganya kwamba CHADEMA walishiriki.
Nia aibu kwa CHADEMA kuwa na Mwenezi aliyezubaa Kama huyu, ni muda kutafuta Mwenezi atakaye saidia kuleta vijana kwenye chama na kuwavutia watu kusikiliza hoja na matamko ya CHADEMA.
Kwa mara nyingine mbowe amefanya biashara, trust me jamaa ni opportunistic sana. Mbaya ameilemaza chadema. Lisu out, lema out, heche out, msigwa out.Naomba nitoe ushauri Kwa chama changu Cha CHADEMA, kwamba imefika wakati tuondokane na Business as usual. Kuna Afisa mmoja wa CHADEMA anaitwa John Mrema ambaye kwa ujumla anahusika na uenezi wa chama. Huyu jamaa kusema ukweli amepwaya Sana. Yani hiyo nafasi ni kama haimfai na ni kama amelazimisnwa kufanya. Amejifungia ndani Sana, Wala hatembei kukieneza chama. Na siku akitoka kuongea anaongea pumba.