Ni wakati wa kuondokana na John Mrema hapa CHADEMA

Basi awe chawa ila afanye kazi. Mwenezi wa chama kikuu Cha upinzani ila kajifungia ndani. Mpaka mtu anadhani CHADEMA haina wenezi.
Kiuhalisia mwenezi na uhai wa chadema kwasasa ni Lissu
 
Ndio uwezo wa wachaga
 
Halafu hana kipaji cha kuongea. Hana ushawishi na sauti yake haina mamlaka. No offensive, lakini ukweli ni kuwa msemaji wa organisation hasa chama cha kisiasa kunahitaji kipaji na utaalam ambao sio kila mtu anao. Hata mimi sina.
 
wewe binafsi upo chadema ipi gentleman?

Chadema ya Lisu ambayo makao makuu yake ni Singida,
au Chadema ya Lema na Kigaila ambayo makao makuu yake ni Arusha, hata upate nguvu za kuiozodo chadema ya mwenyekiti na huyo Mrema ambayo makao makuu ya ni Dar es Salaam?

au wewe upo upande wa chadema ya Heche na Wenje ambayo makao makuu yake ni Tarime na Rorya?
 
Punguza ujinga. Kama huna la kuongea usipende mazoea. Stupid idiot.
Hawa ndio makamanda, ambaye anashabikia hata asichokijuwa, nimekuuliza Mrema ana cheo gani Chadema?

Huwezi kunitowa kwenye reli, najuwa matusi kuliko wewe ila nitamalizana na mama yako chumbani.
 
Tatizo la Chadema ni zaidi ya mwenezi.

zitto junior
 
Halafu hana kipaji cha kuongea. Hana ushawishi na sauti yake haina mamlaka. No offensive, lakini ukweli ni kuwa msemaji wa organisation hasa chama cha kisiasa kunahitaji kipaji na utaalam ambao sio kila mtu anao. Hata mimi sina.

Asante Mkuu. Umegonga kwenye point kwenyewe. Tunahitaji mtu mwenye sifa hizo ulizotaja.
 
Nipo CHADEMA. Hayo mengine ni ya kwako.
 
Hawa ndio makamanda, ambaye anashabikia hata asichokijuwa, nimekuuliza Mrema ana cheo gani Chadema?

Huwezi kunitowa kwenye reli, najuwa matusi kuliko wewe ila nitamalizana na mama yako chumbani.

Nimekupa unachostahili. Mpumbavu unamjibu Kama mpumbavu, na mwenye akili unamjibu Kama mwenye akili. Sina muda na mpumbavu Kama wewe. Husomi thread unarukia maswali ya kijinga. Unaniona nimemjibu Erythrocyte bado unaleta maswali ya kipumbavi. Narudia Tena wewe ni mpumbavu anayejifanya much know.
 
Mpumbavu ni Baba yako kwa kuniachia nimsiguwe mama yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…