Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kitu muhimu kuliko katiba mpya ni uwepo wa a political will, ya kupatikana kwa katiba mpya. JK alianzisha mchakato wa katiba mpya lakini hakuwa na a political will, sasa Samia anayo, kitu cha kwanza anachofanya ni kutoa uhuru wa kusemezana, wananchi wanataka nini, ikionekana tuirejelee rasimu ya Warioba na kuanzia ilipoishia, sawa. Ikionekana imepitwa na wakati, wananchi wanataka something new, sawa.Ni kweli Rais Samia ameufufua mchakato wa katiba mpya, lakini msukumo, spidi, na mwelekeo ni wa kutia shaka kwa sababu mchakato mzuma hauna nguvu ya kisheria wala ratiba ya utekelezaji.
Baada ya kujiridhisha tunataka nini, ndipo sasa tuje kwenye legal framework ya nini kifanyike
Huu ndio uzuri wa mchakato wa Samia tofauti na mchakato wa JK. Mchakato wa JK aliunda Tume ya Warioba na kuipa hadidu, Samia anataka wananchi ndio watoe hadidu wanataka nini. Mchakato ule haukuwa right na hili nililisema Mchakato huu wa Katiba ni umasikini wetu. Tujikubali, tuukubali, tuupigie kura ya ndio Samia is doing the right thing.Kulistahili kuwepo kwa sheria ndogo ya kuongoza mchakato mzima,. Kulistahili kuwepo hadidu za rejea.
Samia katoa uhuru tuamue.Wananchi walistahili kutambua kwa uwazi juu ya kinachoendelea, hatua itakachopitia na hatima yake. Mathalani, kinachoendelea sasa, ni mwendelezo na maboresho ya maoni ya wananchi waliyoyatoa kwa Tume ya jaji Warioba au ni mchakato mpya kabisa?
Samia katoa uhuru tuamueNi uboreshaji wa katiba pendekezwa ya Bunge la katiba au ni mchakato mpya?
Hili la vipengele linahitaji ujuzi, inahitajika elimu ya katiba watu waijue kwanza katiba iliyopo na madhaifu yake, ndipo tupendekeze katiba mpya. It's very unfortunately hatuna kipindi chochote cha uelimishaji umma kuhusu katiba popote!. Mimi nimejitolea humu JF, Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni nini, ya nani, ya kazi gani? Msemo "Katiba ndio ila kitu" Una maana gani? Katiba ina umuhimu gani? angalia response utashangaa!.Kama ni maboresho, ni vipengere gani vinavyotazamwa na kufanyiwa marekebisho?
Mchakato ule was wrong, lets do it right sasa!.Kama utungaji wa sheria ya katiba mpya, uchukuaji maoni kutoka makundi yote ya kijamii, bara na visiwani, vikao vya Bunge la katiba na uandaaji wa katiba pendekezwa vilifanyika ndani ya miaka miwili tu, inawezekana vipi marekebisho yanashindwa kukamilika ndani ya miaka miwili?
Give it time. kwa huu muda uliopo mpaka uchaguzi wa 2025, hautoshi kutupatia katiba mpya bora, ila unatosha kubadili sheria na kuisuka upya NEC tukafanya uchaguzi Mkuu huru na wa haki, ndipo tuje kwenda kwenye katiba mpya. Tumemshauri Mama Hongera Sana Rais Samia kwa Miaka Miwili Madarakani. Japo Umefanya Mengi, Makubwa, Mazuri, Lakini Bado! Linalowezekana Leo, Lisingoje Kesho!Haya wanayoyaita eti maboresho ya katiba pendekezwa iliyotokana na maoni ya wananchi, tangu mwakajana tunaambiwa kuwa yanafanywa lakini mpaka leo siwezi kusema kuna kubwa la maana ambalo wananchi tumeambiwa kuwa limekamilika.
na amepokea ushauri huu, kazi inaendelea.
P
,