Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Bora Makamba,kuliko dikteta aliongoza kikundi Cha majambazi kina Saa mbaya na bashiteNdio maana akina Makamba wanajipigia tu, Mama kila siku mialiko na haachi mwaliko hata mmoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora Makamba,kuliko dikteta aliongoza kikundi Cha majambazi kina Saa mbaya na bashiteNdio maana akina Makamba wanajipigia tu, Mama kila siku mialiko na haachi mwaliko hata mmoja.
Kinachotafutwa kwa Sasa ni umaarufu, huo umashuhuri kwao hauna diliKuna tofauti kati ya Maarufu na mashuhuri
Tanzania ukiadimika siku mbili wataanza kusema UMEKUFA wanaficha TAARIFA.Rais anapaswa kuadimika kidogo
Mkapa ndio Rais aliekuwa anaadimika zaid na siku anaongea lazima ufuatilie
JPM na Samia wanaongoza kwa kujitokeza sana kila mara
Ni kweli na huu mfungo,akapumzike japo mweziTangu aapishwe sijui kama kapumzika.
Leo anazindua Mdaharo wa miaka 100 ya Nyerere....Kibaha.
Jana Azindua Sensa......Dar.
Juzi Azindua usafirishaji mama mjamzito....
Juzi ahudhuria kumbukumbu ya Karume....Zanzibar,
Juzi yuko Zanzibar Anafuturisha....
Majuzi Rais Agawa pikipiki 7000 za Mpango kazi kilimo....
Majuzi aapisha wateule...Dodoma.....
Majuzi Rais Samia azindua daraja la Tanzanite....Dar.
Apokea ripoti ya task force Dar...
Azindua Mkutano wa Maridhiano.....Dodoma.
Azindua Mradi maji Mlandizi....
Rais aenda Dubai...
Azindua Chanjo
Azindua.....
Atembelea mradi....
Duh!!!!!!!!
Wapuuzi huwa hamkosekaniLicha ya madhaifu Magufuli.. Ila nafikiri Mama Samia hajiwezi, hajui anasimamia nini.. Na wasaidizi wake wanamfanya awe busy ili wapige zaidi. Hapa tumepigwa.. Rais anawaza uchaguzi tu.
Mbona tunamuona kwenye uzinduzi anakuwa kapumzika tu....anaandaliwa hotuba ya kurasa 8 anafanya summary ili asome point muhimu tu kurasa 3 ila nazo zinamchosha anaishia kusoma page moja tu! Hataki shida mama wa watu....uwiiii!, ukishindwa kuongiza Tanzania hukopata nchi nyingine ya kuongiza kwenye sayari hii ya Dunia!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana akina Makamba wanajipigia tu, Mama kila siku mialiko na haachi mwaliko hata mmoja.
Tatizo viongozi wetu wanapenda publicity kuna mambo mengine hayahitaji Raisi au viongozi wa ngazi za juu kuwepo katika uzinduzi wake, pia ni ubadhirifu wa pesa za umma.Tangu aapishwe sijui kama kapumzika.
Leo anazindua Mdaharo wa miaka 100 ya Nyerere....Kibaha.
Jana Azindua Sensa......Dar.
Juzi Azindua usafirishaji mama mjamzito....
Juzi ahudhuria kumbukumbu ya Karume....Zanzibar,
Juzi yuko Zanzibar Anafuturisha....
Majuzi Rais Agawa pikipiki 7000 za Mpango kazi kilimo....
Majuzi aapisha wateule...Dodoma.....
Majuzi Rais Samia azindua daraja la Tanzanite....Dar.
Apokea ripoti ya task force Dar...
Azindua Mkutano wa Maridhiano.....Dodoma.
Azindua Mradi maji Mlandizi....
Rais aenda Dubai...
Azindua Chanjo
Azindua.....
Atembelea mradi....
Duh!!!!!!!!
Hizo ndio kazi za Raisi mkuu,mbona sisi wengine tunaoenda kuuza nyanya sokoni kila siku hamsemi tupumzike...Tangu aapishwe sijui kama kapumzika.
Leo anazindua Mdaharo wa miaka 100 ya Nyerere....Kibaha.
Jana Azindua Sensa......Dar.
Juzi Azindua usafirishaji mama mjamzito....
Juzi ahudhuria kumbukumbu ya Karume....Zanzibar,
Juzi yuko Zanzibar Anafuturisha....
Majuzi Rais Agawa pikipiki 7000 za Mpango kazi kilimo....
Majuzi aapisha wateule...Dodoma.....
Majuzi Rais Samia azindua daraja la Tanzanite....Dar.
Apokea ripoti ya task force Dar...
Azindua Mkutano wa Maridhiano.....Dodoma.
Azindua Mradi maji Mlandizi....
Rais aenda Dubai...
Azindua Chanjo
Azindua.....
Atembelea mradi....
Duh!!!!!!!!
Kuongoza kundi la wajinga ni kazi ngumu kuliko kuongoza wanaojitambua, ndio maana Magufuli aliishia kuumwa moyo na hatimaye wakamaliza shughuli.Mbona tunamuona kwenye uzinduzi anakuwa kapumzika tu....anaandaliwa hotuba ya kurasa 8 anafanya summary ili asome point muhimu tu kurasa 3 ila nazo zinamchosha anaishia kusoma page moja tu! Hataki shida mama wa watu....uwiiii!, ukishindwa kuongiza Tanzania hukopata nchi nyingine ya kuongiza kwenye sayari hii ya Dunia!
Tangu aapishwe sijui kama kapumzika.
Leo anazindua Mdaharo wa miaka 100 ya Nyerere....Kibaha.
Jana Azindua Sensa......Dar.
Juzi Azindua usafirishaji mama mjamzito....
Juzi ahudhuria kumbukumbu ya Karume....Zanzibar,
Juzi yuko Zanzibar Anafuturisha....
Majuzi Rais Agawa pikipiki 7000 za Mpango kazi kilimo....
Majuzi aapisha wateule...Dodoma.....
Majuzi Rais Samia azindua daraja la Tanzanite....Dar.
Apokea ripoti ya task force Dar...
Azindua Mkutano wa Maridhiano.....Dodoma.
Azindua Mradi maji Mlandizi....
Rais aenda Dubai...
Azindua Chanjo
Azindua.....
Atembelea mradi....
Duh!!!!!!!!
Maendeleo siyo tukio la ghafla, ni progress.Tafuta kazi ufanye,
Samia hawezi kupumzika mpaka hakikishe Tanzania imepata maendeleo bwana Kalimanii
Licha ya madhaifu Magufuli.. Ila nafikiri Mama Samia hajiwezi, hajui anasimamia nini.. Na wasaidizi wake wanamfanya awe busy ili wapige zaidi. Hapa tumepigwa.. Rais anawaza uchaguzi tu.
TUPO NYUMA KIMAENDELEO wacha Aupige mwingiTangu aapishwe sijui kama kapumzika.
Leo anazindua Mdaharo wa miaka 100 ya Nyerere....Kibaha.
Jana Azindua Sensa......Dar.
Juzi Azindua usafirishaji mama mjamzito....
Juzi ahudhuria kumbukumbu ya Karume....Zanzibar,
Juzi yuko Zanzibar Anafuturisha....
Majuzi Rais Agawa pikipiki 7000 za Mpango kazi kilimo....
Majuzi aapisha wateule...Dodoma.....
Majuzi Rais Samia azindua daraja la Tanzanite....Dar.
Apokea ripoti ya task force Dar...
Azindua Mkutano wa Maridhiano.....Dodoma.
Azindua Mradi maji Mlandizi....
Rais aenda Dubai...
Azindua Chanjo
Azindua.....
Atembelea mradi....
Duh!!!!!!!!
Wiki sikuona sehemu inaayohitaji raisi awepo, shameTatizo viongozi wetu wanapenda publicity kuna mambo mengine hayahitaji Raisi au viongozi wa ngazi za juu kuwepo katika uzinduzi wake, pia ni ubadhirifu wa pesa za umma.
Hapa sijakosoa nimeshauri, ila kwa CCM sioni ajabu ukishauri unaonekana umekosoa. Ndugai alishauri tusikope sana unajua kilichompata.Mkuu, yeye Yuko Kazini kwake.
Tatizo lako huna Cha kufanya zaidi kukaa kila wakati kufuatilia watu wanachofanya ili ukosoe.
Nawahurumia sana majirani zako.