Ni wakati wa Rais Samia kuchukua likizo ya Mapumziko

Ni wakati wa Rais Samia kuchukua likizo ya Mapumziko

Kwa taarifa yako huyu ni moja kati ya marais wavivu na wazembe. Uthibitisho ni jinsi mambo yanavyokwenda hovyo kila sekta. Sijui kwanini watanzania mnadanganyika kirahisi hivyo?!
Ofisini hakai ili kutathimini mambo kila siku kiguu na njia wajanja kina January wanajipigia wapendavyo.
 
Tangu aapishwe sijui kama kapumzika.

  • Leo anazindua Mdahalo wa miaka 100 ya Nyerere....Kibaha.
  • Jana alikuwa anazindua Sensa......Dar.
  • Juzi alikuwa anazindua usafirishaji mama mjamzito....
  • Juzi alihudhuria kumbukumbu ya Karume....Zanzibar,
  • Juzi alikuwa Zanzibar Anafuturisha....
  • Majuzi Rais alikuwa anagawa pikipiki 7000 za Mpango kazi kilimo....
  • Majuzi alikuwa Dodoma aliapisha wateule......
  • Majuzi Rais Samia alikuwa anazindua daraja la Tanzanite....Dar.
  • Majuzi ile alikuwa ikulu akipokea ripoti ya task force...
  • Majuzi tena alikuwa Dodoma akifungua Mkutano wa Maridhiano....
  • Ni juzi tu alikuwa Mlandizi akizindua Mradi maji....
  • Juzi juzi tu rais alikuwa Dubai...

Imekuwa kila siku Rais Azindua.....Rais Atembelea mradi.... Duh!!!!!!!!

Afya ya Rais ni Muhimu.

kuchukua likizo ya Mapumziko wakati huu ni mwaka wa Pili tangu awe Rais hajawahi kufika mtwara, mbeya, songea, Rubuma, Njombe, Simiyu,Katavi, Songwe, Lindi, Kigoma, Kagera, Shinyanga, Tabora, Singida,Iringa,Morogoro na Rukwa. Maza hayuko serious​

 
Back
Top Bottom