Ni wakati wa Rais Samia kuchukua likizo ya Mapumziko

Hapa sijakosoa nimeshauri, ila kwa CCM sioni ajabu ukishauri unaonekana umekosoa. Ndugai alishauri tusikope sana unajua kilichompata.
Huko CHADEMA ulishawahi kushauri nini wakakuchukulia umeshauri?
 
Samia hakuna anachofanya katika nchi hii.Kuwa Rais siyo kuzindua zindua mambo ya bodaboda kama ulivyoandika hapo juu.

Kuwa Rais wa nchi ni kutatua zile changamoto kubwa kubwa ambazo zinaathiri kila mtu in macro level kitu ambacho huyu Samia hafanyi.

Samia ni hopeless inept leader ambae anapaswa kung'atuka yeye mwenyewe kwa hiari yake ili kuokoa Taifa hili.

Ona hapa wanachofanya Marais wanaojitambua wakati huu ambao Dunia inakumbwa na tatizo kubwa la mafuta kupanda bei kutokana na vita ya RussiaπŸ‘‡πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Ona hapa sasa anachofanya SamiaπŸ‘‡πŸ’πŸ’πŸ’
Your browser is not able to display this video.
 
Licha ya madhaifu Magufuli.. Ila nafikiri Mama Samia hajiwezi, hajui anasimamia nini.. Na wasaidizi wake wanamfanya awe busy ili wapige zaidi. Hapa tumepigwa.. Rais anawaza uchaguzi tu.
Mamako anajiweza
 
Unaona wivu kazindue wewe
 
Ndio maana akina Makamba wanajipigia tu, Mama kila siku mialiko na haachi mwaliko hata mmoja.
Be wise mkuu. Raisi hajipangii mwenyewe chakubanga! Ratiba ya raisi hapangwi na mwenyewe wala haizuii wizi kwa vyovyote vile
 
It's not necessary Kila kitu akafanye yeye..

Nadhani mengine yangeweza kufanywa tu wasaidizi wake. Mfano kuzindua mradi wa maji, zoezi la sensa na makazi, kufutilisha nk nk..

Nadhani pia kwa wakati huu yeye anapaswa zaidi kuwa ofisini na wasaidizi wake wa mambo ya kiuchumi wakifikiria njia za kuleta nafuu ya kiuchumi ktk maisha ya wananchi..

Lakini anaonesha kuwa yuko bize kupigana vikumbo na wasaidizi wake kuwania posho za safari kila mahali..!
 
Rikizo ni nini? Hivi shule mkaenda kudanga tu!
 
Upuuzi mtupu.
 

Hii ndo kazi anayoimudu
 
Kwa kweli
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ronald Fenty Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty.

 
Mama anaupiga mwingi hapumziki.


 
Yupo USA anapumzika baada ya kazi nyingi hapa nchini.
 
Mama pumzika....

 
Tukutane kesho Zanzibar kwenye royo tua mama atakuwepo.
 
Kwa taarifa yako huyu ni moja kati ya marais wavivu na wazembe. Uthibitisho ni jinsi mambo yanavyokwenda hovyo kila sekta. Sijui kwanini watanzania mnadanganyika kirahisi hivyo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…