Ni wakinga wachache tupo kwenye mambo ya Siasa, Siasa ni kazi ya ziada kwa wakinga

Huu mwezi October, Weka lengo kuwa January inabidi uwe na Milioni 2 kwa ajili ya kwenda Serengeti National Park

Hakika mtu akiomba huwezi kutoa pesa yako

Anza na lengo kwanza

Ukiwa na Lengo unakuwa mgumu sana
Hii mada kuna watu wanasema ni ukabila lakini kiukweli ina madini ya kutosha.Ukizingatia ushauri huu unaoutoa unakuta muda mwingi watu tumechezea hela kwa sababu hatukuwa na malengo
 
Hii mada kuna watu wanasema ni ukabila lakini kiukweli ina madini ya kutosha.Ukizingatia ushauri huu unaoutoa unakuta muda mwingi watu tumechezea hela kwa sababu hatukuwa na malengo
Vijana wamemaliza chuo sasa, Ukiwauliza wana lengo gani watakuambia kutafuta kazi

Naunga mkono hilo lengo Lao kuu kutafuta kazi

Wakipata kazi hapo ndio utofauti Unaanza wanakuwa hawana malengo tena baada ya kupata kazi

Kwa sisi wakinga hapo ndio tunakaa na kuweka malengo ya maana kwa kuwa kazi unayo kinachofuata Malengo ya kuzalisha pesa unayopata kwa kufanya biashara

Vijana wengi baada ya kupata kazi hakuna jipya tena
 
Naomba tujuze kidogo, hivi inakuwaje Mkinga anakuja hapa Dar yuko hoi kiuchumi, atauza kahawa na kashata kwa mwezi tu, mwezi unaofuatia anakuwa na frames kadhaa Kariakoo, inawezekanaje hili?
Ukitenga muda wa kumsoma mleta mada unaweza pata jibu la swali lako.lakini hata hivyo umetia chumvi.Huwa hawakai mwezi tu lazima wasote ndo watoke
 
Bado yapo mkuu tena yameongezeka sana.Unakumnuka disapperance ya watoto mpaka Marehemu Magufuli akaingilia kati?
 

Wanakula maisha, miaka mitano mbele wananuka mikopo hadi wanatia huruma,
 
Bado suala la kafara za binadamu kwenye utajiri wa wakinga ni kubwa sana, bado wakinga wana safari ndefu ya kupata utajiri wa kutumia akili na sio ndagu. Wachagga wapo mbele sana kwa hilo.
Utakuwa mchawi si bure
 
Utakuwa mchawi si bure
Mfano mdogo tu na wa wazi

Yule Fred Vunja Bei amemaliza chuo sio muda mrefu sana

Kijana wa Kikinga rafiki yake walisaidiana na kushikana mkono

Muulize Fred Mkinga mwezangu alikuwa na Lengo gani? Pesa alikuwa nayo kiasi gani?

Ni kupambana tu mkuu

Kwa hiyo kuagiza T shirt zote za Simba ni uchawi?

Uchawi ni Starehe
 
Namba ya mpwa wako hujaiweka, weka kwa faida yangu ,wengi wanaona Noma kuomba
 
Ni kweli ninyi Wakinga utajiri wenu ni wa masharti kwa asilimia kubwa?
 
Wanakula maisha, miaka mitano mbele wananuka mikopo hadi wanatia huruma,
Broo mi kwa vijana wengi wa kibongo hasa wanaoanza kazi, maisha ya kuiga na kutokuwa na malengo! Mfano unataka starehe zote ziwe zako pisi kali,pombe,club n.k hapo unamshahara laki saba.Utakuwa na maajabu gani utaishia kuwa mjuaji tu lakini mwisho wa siku utakuwa failure mkubwa! Nidhamu ya maisha ni muhimu sana unakutana na watu kazini wote mpo Dar na ofisi moja wewe msharaha laki tano mwingine milion1.5 baada ya wiki mbili analalamika hana hela anaanza kukuomba unamshangaa wewe unaelimu ya fedha kweli?
 
Hii mada ina upako aiseeeee,full madini
 

Angalau basi ufiche upumbafu wako hizi ni zama za uwazi kila anayetaka kujua ukweli ataujua tu. Ama na wewe ni walewale so unatafuta kuhalalisha. Miezi ya kafara za damu za binadamu hii wa 10 na 11. Wa 12 kwenda kuvuvia kafara hizi kwa damu za mbusi, kondoo na ng'ombe. Sijajua kuhusu damu ya kitimoto/noah kwenye kafara. Ndege maarufu ni njiwa, kuku na mayai ya bundi.
 
Siasa inataka akili na Wakinga hawana akili
Mbona mtoa mada kaweka wazi kuwa wakinga hawakupata formal education mapema.Unaposema wakinga hawana akili unamaanisha nini? Yaani mtu aweze biashara ya mamilioni halafu useme hana akili? Wanasiasa mie naona ndo hawana akili.Mtoe kwenye siasa uone Kama atakuwa na akili ya kufanya kitu kingine zaidi ya kuunga mkono juhudi
 
Ngozi nyeusi na sisi ni mbingu na ardhi
 
Ndiyo maana nimemwambia huyo jamaa anayesema wakinga wachawi,yeye ndo atakuwa mchawi.Kwanini hataki kuamini hizi kanuni unazofundisha?
 
Tetete wakinga wana mali gani na waha? wachaga sawa
 
We ni mshirikina?
Mimi sio mshiikina kabisa, ila taarifa ninazo.Nilipokuwa Njombe Mkinga akifiwa na mtu wenyewe walikuwa wanasema, mbona haikuwa siri!?Halafu mbaya zaidi sasa, wamewaambukiza na watu wengine sasa.Nchi imekuwa ya makafara tu, biashara ni uchawi uchawi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…