biblia toka mwanzo wake hadi mwisho imetafuta channel za kuonyesha kuzakiwa kwa taifa la israel na namna gani lilivyo super,sababu toka mwanzo zimeachwa historia za vizazi vingine kibao ila vimebebwa vile ambavyo channel yake inakuja kumleta yakobo(israel)...na mna na taifa la watoto wake lilivyozaliwa huko misri,baada ya hapo hakuna mahala tena pameandikwa kuhusu mataifa mengine.
ukisema ni kwa mtoto wa nuhu,ni kivipi alikua mweusi wakati watoto wote walizaliwa na mama mmoja na baba mmoja?
ukwelini kwamba tunajipendekeza tu.....kama kuna mbingu basi haituhusu watu weusi sababu hakuna mahala tumetajwa kuwa na maunganiko na mungu,hata ambapo nchi za afrika zimetajwa basi ni za mataifa ya waarabu ambao wanafanana pakubwa na hao wayahudi na wana historia zakufanana.