4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna watu wana Masters na PhDs za lugha ya ki Latin,
Lugha iliyokufa
Kuwa na PhD ya Biblia, ni yale yale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna watu wana Masters na PhDs za lugha ya ki Latin,
Lugha iliyokufa
Kuwa na PhD ya Biblia, ni yale yale
Kweni mtu mweupe katajwa wapi?Naombeni majibu katika Biblia ni wapi ambapo mtu mweusi anatajwa chanzo chake maana tangu Adamu hadi Yesu hakuna mahala pametajwa mtu mweusi, sasa huu ujasiri wa kupigania pepo sisi tunautoa wapi?
Mtu mweusi anatembea kwenye laana, baada ya mwasisi wao kuuchungulia uchi wa baba yao (Nuhu).Mtu mweusi ametokea hapa[emoji116]
Mwanzo 9:3?21-25
Mwanzo 10:6
Sisi ni zao la Hamu ambaye alilaaniwa na baba yake Nuhu.
Hamu alipokuja kusini mwa Dunia (Ethiopia) Kushi alipozaa watoto ikaonekana ajabu mtoto mweusi akazaliwa.
Nuhu alimtabiria Hamu(aliyezaa watoto weusi) kuwa mtumwa daima.
In short Waafrika tumelaaniwa , am sorry.
Siku tukiwa kama US, wao US watakuwa kama mbinguni.
Mtu mweusi anatembea kwenye laana, baada ya mwasisi wao kuuchungulia uchi wa baba yao (Nuhu).
Laana hiyo imeondolewa na Yesu Kristo kupitia kifo cha msalaba. Kufa na kufufuka kwa Bwana Yesu kumetuondolea hatia zote maana aliigongomelea msalabani ile hati iliyokuwa ikitushtaki. Damu ya Yesu inatutakasa maovu, dhambi, laana ,... zetu zote. Ili yote haya yatimie unapaswa kumwamini Yesu ili awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako.
hakika YESU NI BWANA NA MWOKOZI
Je kuna udongo unaofanana na kabila nyengine (Weupe ) ? Maana udongo mweusi unaofanana na rangi yetu upo !! Je Adamu alikuwa rangi Gani ?Naombeni majibu katika Biblia ni wapi ambapo mtu mweusi anatajwa chanzo chake maana tangu Adamu hadi Yesu hakuna mahala pametajwa mtu mweusi, sasa huu ujasiri wa kupigania pepo sisi tunautoa wapi?
naona umepagazwa na dini wewe! [emoji846]Mtu mweusi anatembea kwenye laana, baada ya mwasisi wao kuuchungulia uchi wa baba yao (Nuhu).
Laana hiyo imeondolewa na Yesu Kristo kupitia kifo cha msalaba. Kufa na kufufuka kwa Bwana Yesu kumetuondolea hatia zote maana aliigongomelea msalabani ile hati iliyokuwa ikitushtaki. Damu ya Yesu inatutakasa maovu, dhambi, laana ,... zetu zote. Ili yote haya yatimie unapaswa kumwamini Yesu ili awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako.
hakika YESU NI BWANA NA MWOKOZI
Kufatilia asili ya MTU kwa kutumia biblia utakua unajiumiza kichwa bure.Naombeni majibu katika Biblia ni wapi ambapo mtu mweusi anatajwa chanzo chake maana tangu Adamu hadi Yesu hakuna mahala pametajwa mtu mweusi, sasa huu ujasiri wa kupigania pepo sisi tunautoa wapi?
Maajabu ni kwamba mtu mweupe hawezi kuzaa mtu mweusi ila mweusi anaweza kuzaa mweupe.Mtu mweusi ametokea hapa👇
Mwanzo 9:3?21-25
Mwanzo 10:6
Sisi ni zao la Hamu ambaye alilaaniwa na baba yake Nuhu.
Hamu alipokuja kusini mwa Dunia (Ethiopia) Kushi alipozaa watoto ikaonekana ajabu mtoto mweusi akazaliwa.
Nuhu alimtabiria Hamu(aliyezaa watoto weusi) kuwa mtumwa daima.
In short Waafrika tumelaaniwa , am sorry.
Siku tukiwa kama US, wao US watakuwa kama mbinguni.
Wewe jamaa hujielewi hakuna muafrika aliye laaniwa kwenye bible soma vizuriMtu mweusi ametokea hapa[emoji116]
Mwanzo 9:3?21-25
Mwanzo 10:6
Sisi ni zao la Hamu ambaye alilaaniwa na baba yake Nuhu.
Hamu alipokuja kusini mwa Dunia (Ethiopia) Kushi alipozaa watoto ikaonekana ajabu mtoto mweusi akazaliwa.
Nuhu alimtabiria Hamu(aliyezaa watoto weusi) kuwa mtumwa daima.
In short Waafrika tumelaaniwa , am sorry.
Siku tukiwa kama US, wao US watakuwa kama mbinguni.
Utumwa mwingine na racism ya biblia kwa mtu mweusi iko hapa.Mtu mweusi ametokea hapa👇
Mwanzo 9:3?21-25
Mwanzo 10:6
Sisi ni zao la Hamu ambaye alilaaniwa na baba yake Nuhu.
Hamu alipokuja kusini mwa Dunia (Ethiopia) Kushi alipozaa watoto ikaonekana ajabu mtoto mweusi akazaliwa.
Nuhu alimtabiria Hamu(aliyezaa watoto weusi) kuwa mtumwa daima.
In short Waafrika tumelaaniwa , am sorry.
Siku tukiwa kama US, wao US watakuwa kama mbinguni.
By using cultural and geographical kwa kuangalia mazingira ya watu waliokua wanatajwa kwenye biblia tunaweza kujua ni race gani, mfano taifa pendwa la Mungu ambalo kasema ni israel, watu waishio israel ni weupeKwani kuna mahali ametajwa mzungu?
Hajatajwa ila tunaona picha za wazungu wakichorwa kama yesu na malaikaKwani kuna mahali ametajwa mzungu?
Kwan wapi kwenye biblia wameandika MTU MWEUPE?Kuanzia ADAM hd YESUNaombeni majibu katika Biblia ni wapi ambapo mtu mweusi anatajwa chanzo chake maana tangu Adamu hadi Yesu hakuna mahala pametajwa mtu mweusi, sasa huu ujasiri wa kupigania pepo sisi tunautoa wapi?
We umejuaje kuwa kusin mwa dunia ni ethiopia?...na wapi waliandika huyo mtoto ni mweusi?suppose HAIN alikuwa WHITE..kwa hyo baada ya laana ndo akazaa mweusi?we inakuingia akilin kbsa hyo?Mtu mweusi ametokea hapa[emoji116]
Mwanzo 9:3?21-25
Mwanzo 10:6
Sisi ni zao la Hamu ambaye alilaaniwa na baba yake Nuhu.
Hamu alipokuja kusini mwa Dunia (Ethiopia) Kushi alipozaa watoto ikaonekana ajabu mtoto mweusi akazaliwa.
Nuhu alimtabiria Hamu(aliyezaa watoto weusi) kuwa mtumwa daima.
In short Waafrika tumelaaniwa , am sorry.
Siku tukiwa kama US, wao US watakuwa kama mbinguni.
Ni hisia au ushahidi?Mtu mweusi ametokea hapa[emoji116]
Mwanzo 9:3?21-25
Mwanzo 10:6
Sisi ni zao la Hamu ambaye alilaaniwa na baba yake Nuhu.
Hamu alipokuja kusini mwa Dunia (Ethiopia) Kushi alipozaa watoto ikaonekana ajabu mtoto mweusi akazaliwa.
Nuhu alimtabiria Hamu(aliyezaa watoto weusi) kuwa mtumwa daima.
In short Waafrika tumelaaniwa , am sorry.
Siku tukiwa kama US, wao US watakuwa kama mbinguni.
Unaposema tunajipendekeza ayubu katika Bible amesema "ngozi yangu ni nyeusi lakini yanitoka" how watu weusi tunajipendekeza? Selemani katika wimbo ulio bora kasema "mimi ni mweusi lakini ninao uzuri " Hata misri unayofikiri ni ya waarabu farao ni mweusi tafuta mwili wake utaamini maana hajazikwa mpaka leo upo.biblia toka mwanzo wake hadi mwisho imetafuta channel za kuonyesha kuzakiwa kwa taifa la israel na namna gani lilivyo super,sababu toka mwanzo zimeachwa historia za vizazi vingine kibao ila vimebebwa vile ambavyo channel yake inakuja kumleta yakobo(israel)...na mna na taifa la watoto wake lilivyozaliwa huko misri,baada ya hapo hakuna mahala tena pameandikwa kuhusu mataifa mengine.
ukisema ni kwa mtoto wa nuhu,ni kivipi alikua mweusi wakati watoto wote walizaliwa na mama mmoja na baba mmoja?
ukwelini kwamba tunajipendekeza tu.....kama kuna mbingu basi haituhusu watu weusi sababu hakuna mahala tumetajwa kuwa na maunganiko na mungu,hata ambapo nchi za afrika zimetajwa basi ni za mataifa ya waarabu ambao wanafanana pakubwa na hao wayahudi na wana historia zakufanana.