Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Watu weusi ndo project Adam, ambao bado tunasubiri ukombozi wa Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ushahidi huo wa maandiko haukutoshi unataka nini?Ni hisia au ushahidi?
selemani tena, kwenye wimbo ulio bora huo huo anasifia weupe,usimuamini selemani hata kidogoUnaposema tunajipendekeza ayubu katika Bible amesema "ngozi yangu ni nyeusi lakini yanitoka" how watu weusi tunajipendekeza? Selemani katika wimbo ulio bora kasema "mimi ni mweusi lakini ninao uzuri " Hata misri unayofikiri ni ya waarabu farao ni mweusi tafuta mwili wake utaamini maana hajazikwa mpaka leo upo.