Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
Kwani kuna mahali ametajwa mzungu?Naombeni majibu katika Biblia ni wapi ambapo mtu mweusi anatajwa chanzo chake maana tangu Adamu hadi Yesu hakuna mahala pametajwa mtu mweusi, sasa huu ujasiri wa kupigania pepo sisi tunautoa wapi?
wapi hamu katajwa kuwa ni mweusi kaka?Mtu mweusi ametokea hapa👇
Mwanzo 9:3?21-25
Mwanzo 10:6
Sisi ni zao la Hamu ambaye alilaaniwa na baba yake Nuhu.
Hamu alipokuja kusini mwa Dunia (Ethiopia) Kushi alipozaa watoto ikaonekana ajabu mtoto mweusi akazaliwa.
Nuhu alimtabiria Hamu(aliyezaa watoto weusi) kuwa mtumwa daima.
In short Waafrika tumelaaniwa , am sorry.
Siku tukiwa kama US, wao US watakuwa kama mbinguni.
hata bila kutaja ni wazi wahayudi ni weupe..Kwani kuna mahali ametajwa mzungu?
Mtu mweusi ametokea hapa[emoji116]
Mwanzo 9:3?21-25
Mwanzo 10:6
Sisi ni zao la Hamu ambaye alilaaniwa na baba yake Nuhu.
Hamu alipokuja kusini mwa Dunia (Ethiopia) Kushi alipozaa watoto ikaonekana ajabu mtoto mweusi akazaliwa.
Nuhu alimtabiria Hamu(aliyezaa watoto weusi) kuwa mtumwa daima.
In short Waafrika tumelaaniwa , am sorry.
Siku tukiwa kama US, wao US watakuwa kama mbinguni.
Wimbo Ulio Bora 1:5biblia toka mwanzo wake hadi mwisho imetafuta channel za kuonyesha kuzakiwa kwa taifa la israel na namna gani lilivyo super,sababu toka mwanzo zimeachwa historia za vizazi vingine kibao ila vimebebwa vile ambavyo channel yake inakuja kumleta yakobo(israel)...na mna na taifa la watoto wake lilivyozaliwa huko misri,baada ya hapo hakuna mahala tena pameandikwa kuhusu mataifa mengine.
ukisema ni kwa mtoto wa nuhu,ni kivipi alikua mweusi wakati watoto wote walizaliwa na mama mmoja na baba mmoja?
ukwelini kwamba tunajipendekeza tu.....kama kuna mbingu basi haituhusu watu weusi sababu hakuna mahala tumetajwa kuwa na maunganiko na mungu,hata ambapo nchi za afrika zimetajwa basi ni za mataifa ya waarabu ambao wanafanana pakubwa na hao wayahudi na wana historia zakufanana.
unataka kusema selemeni alikua mweusi?Wimbo Ulio Bora 1:5
Mimi ni mweusi-mweusi, lakini ninao uzuri, Enyi binti za Yerusalemu, Mfano wa hema za Kedari, Kama mapazia yake Sulemani.
Watu wengi uelewa wenu ni mdogo.wapi hamu katajwa kuwa ni mweusi kaka?
Usinisahau kwenye ufalme wako pindi utakapojibiwaKwani kuna mahali ametajwa mzungu?
Akikujibu nitagAsili ya watu wengine imetajwa wapi?
Chunvi mchanga ndo una tuungia apa mwongo weweMtu mweusi ametokea hapa[emoji116]
Mwanzo 9:3?21-25
Mwanzo 10:6
Sisi ni zao la Hamu ambaye alilaaniwa na baba yake Nuhu.
Hamu alipokuja kusini mwa Dunia (Ethiopia) Kushi alipozaa watoto ikaonekana ajabu mtoto mweusi akazaliwa.
Nuhu alimtabiria Hamu(aliyezaa watoto weusi) kuwa mtumwa daima.
In short Waafrika tumelaaniwa , am sorry.
Siku tukiwa kama US, wao US watakuwa kama mbinguni.
Asili ya mwanadamu ni kuwa na ngozi nyeusi. Na maandiko matakatifu huthibitisha jambo hilo kwa kuwa inamtaja mtu wenye kuzaliwa na ngozi nyekundu kama vile si kitu cha kawaida.Naombeni majibu katika Biblia ni wapi ambapo mtu mweusi anatajwa chanzo chake maana tangu Adamu hadi Yesu hakuna mahala pametajwa mtu mweusi, sasa huu ujasiri wa kupigania pepo sisi tunautoa wapi?
Kuna watu wana Masters na PhDs za lugha ya ki Latin,Watu wengi uelewa wenu ni mdogo.
Unadhani kuna haja gani mtu kutunikiwa stashahada, shahada mpaka PhD ya mambo ya Biblia ikiwa kitabu chenyewe ni kifupi vile?
Biblia pana , yamechokonolewa tu mambo machache ila ukikutana na wataalamu tutakufundisha
I am sorry brother, ila umelaaniwa peke yako nadhani usitusemee woteMtu mweusi ametokea hapa[emoji116]
Mwanzo 9:3?21-25
Mwanzo 10:6
Sisi ni zao la Hamu ambaye alilaaniwa na baba yake Nuhu.
Hamu alipokuja kusini mwa Dunia (Ethiopia) Kushi alipozaa watoto ikaonekana ajabu mtoto mweusi akazaliwa.
Nuhu alimtabiria Hamu(aliyezaa watoto weusi) kuwa mtumwa daima.
In short Waafrika tumelaaniwa , am sorry.
Siku tukiwa kama US, wao US watakuwa kama mbinguni.
[emoji3][emoji3][emoji3]Soma kutabu cha Upumbavu 12:5-10