Unaposema tunajipendekeza ayubu katika Bible amesema "ngozi yangu ni nyeusi lakini yanitoka" how watu weusi tunajipendekeza? Selemani katika wimbo ulio bora kasema "mimi ni mweusi lakini ninao uzuri " Hata misri unayofikiri ni ya waarabu farao ni mweusi tafuta mwili wake utaamini maana hajazikwa mpaka leo upo.