PostGE2025 Ni wapi kwingine walioshinda uchaguzi kwa 98% hufanya maridhiano??

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Duh 🙄 !
 
Ukisikia kukosa akili ndo huku sasa!

Eti kashinda uchaguzi kwa 98% ya kura zilizopigwa [uongo].

Kapata kura milioni 31 kati ya milioni 32 zilizopigwa [uongo].
Hivi hayo matokeo yapo wapi?
Embu subiri! Yaani ushinde kila kitu kwa kishindo alafu usumbuliwe na waliosusia uchafuzi?
 
Fazafaka yuko very sick mkichwa!

Haiwezekani kuandamana kumpinga mtu aliyepata ushindi wa kiwango hicho. Hakuna mtaa ambao waandamanaji watapita bila kuaibishwa kwa kuzomewa kama bundi. Watayakimbia maandamano yao bila kupigwa na mtu yeyote.
 
Huku Simiyu hakuna aliyeenda kupiga kura.

Hata CCM wenyewe hawakwenda kupiga kura!

Halafu eti mtu anapata kura milioni 31 😂.

Nchi ya kimburula sana hii.
Mimi nilikuwa msimamizi mkuu ktk Moja ya kituo kata ya Ngokolo -Shinyanga Manispaa

Kituo chetu kilikuwa na registered voters 428

Hadi inafika saa 10:00 jioni siku hiyo, ni wapiga kura 31 tu ndo walifika na kupiga kura!!

Tulipopeleka matokeo yetu kwa Returning Officer (Mtendaji wa Kata), tulikuta fomu zingine kabisa za matokeo za kituo chetu zikionesha kuwa Samia (CCM) amepigiwa kura 412 na wagombea wengine wakagawiwa zilizobaki!!

Tulipigwa na bumbuazi ile mbaya. Na hali ilikuwa hivyo hivyo katika vituo karibu vyote vya kupigia kura

Hivyo, tulilazimishwa kusaini fomu hizo ambazo honestly hakuna aliyejua zimetokea wapi. Na ilikuwa ukileta ubishi, tulikuwa tunaambiwa kabisa baya lolote litakalokukuta, usilaumu na ndugu zako wasije kulaumu.

Ilikuwa ni wakati mgumu sana kukumbana nao sisi wasimamizi wa uchaguzi huo. Ilikuwa ni kuchagua kukubaliana nao au upoteze kazi au ufe kabisa!!

Kwa kifupi uchaguzi ule ulikuwa very disgusting, uchafu mtupu. Na kamwe haumpi heshima yeyote anayejiita kiongozi aliyetokana na uchaguzi huo!!
 
Huku Simiyu hakuna aliyeenda kupiga kura.

Hata CCM wenyewe hawakwenda kupiga kura!

Halafu eti mtu anapata kura milioni 31 😂.

Nchi ya kimburula sana hii.
Mimi nilikuwa msimamizi mkuu ktk Moja ya kituo kata ya Ngokolo -Shinyanga Manispaa

Kituo chetu kilikuwa na registered voters 428

Hadi inafika saa 10:00 jioni siku hiyo, ni wapiga kura 31 tu ndo walifika na kupiga kura siku hiyo!!

Tulipopeleka matokeo yetu kwa Returning Officer (Mtendaji wa Kata), tulikuta fomu zingine kabisa za matokeo za kituo chetu zikionesha kuwa Samia (CCM) amepigiwa kura 412 na wagombea wengine wakagawiwa zilizobaki

Hali ilikuwa hivyo hivyo katika vituo vyote vya kupigia kura

Hivyo, tulilazimishwa kusaini fomu hizo ambazo honestly hakuna aliyejua zimetokea wapi. Na ilikuwa ukileta ubishi, tulikuwa tunaambiwa kabisa baya lolote litakalokukuta, usilaumu na ndugu zako wasije kulaumu.

Ilikuwa ni wakati mgumu sana kukumbana nao sisi wasimamizi wa uchaguzi huo. Ilikuwa ni kuchagua kukubaliana nao au upoteze kazi au ufe kabisa!!

Kwa kifupi uchaguzi ule ulikuwa very disgusting, uchafu mtupu. Na kamwe haumpi heshima yeyote anayejiita kiongozi aliyetokana na uchaguzi huo!!
 
Shukran kwa kuchangia nasi ushuhuda wako!
 
Hivi hayo matokeo yapo wapi?
Embu subiri! Yaani ushinde kila kitu kwa kishindo alafu usumbuliwe na waliosusia uchafuzi?
Kaka, kuna kitu kinaitwa dhamira ovu (ill intention), kama una hatia dhamira itakuhukumu sana mpaka unaenda kaburini. Kwenye biblia (Yonahe 8:4-11) kuna mwanamke alifikishwa mikononi mwa Yesu kwa sababu alizini, na adhabu yake kwa kujibu wa torati ni kupigwa mawe mpaka afe. Yesu aliwaambia wale walio,mleta, ambaye hajawahi kutenda dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe huyu mwanamke? Hakukua na jiwe lolote lililorushwa, maana wengne waliozini nae walikuwa palepale na wengine walikuwa na dhambi kibao. Walipoandikiwa madhambi yao, wote wakasepa! Ndio kilichopo sasa. Wameshinda kwa hila (wadhambi) lakini hawana amani kwa sababu dhamira zao zinawasuta kwa wizi.
 
Samahani Mkuu,huwa mnalazimishwa kusimamia Uchaguzi?
 
Huu ushuhuda wako unafanana kabisa na wa watu wangu wa karibu (waalimu) waliopata fursa ya kusimamia uchaguzi mkuu mwaka jana octoba... mmoja mkoani Mwanza na Mwingine mkoani Pwani.
Kwa kifupi, hakukuwa na uchaguzi mkuu...samuya amefanya kuteuliwa na tume!.
 
Mchungaji mwema aliacha kondoo 99 akaenda kutafuta 1 aliyepotea.

Kuwafuata hao 2% ndio kanuni bora ya kiungwana

Ili tuendelee wote tunapaswa kuwa at the same page.
Mfano hausiani na mada shuleni ulikuwa unakaa nje na mawe ya chokaaa
 
Mfano hausiani na mada shuleni ulikuwa unakaa nje na mawe ya chokaaa
Unauelewa mdogo wa mambo ndio maana kila jambo mpaka upewe somo la ziada.

Hapa hakuna wa kukufafanulia kima wewe.
 
Mchungaji mwema aliacha kondoo 99 akaenda kutafuta 1 aliyepotea.

Kuwafuata hao 2% ndio kanuni bora ya kiungwana

Ili tuendelee wote tunapaswa kuwa at the same page.
Mungetaka kwenda nao mungeweka sheria sawa na rafiki za uchaguzi na sio uchafuzi
 
Hakuna kitu kama hicho.

Mifumo ya nchi hii imeshakufa, kina Mkumda na genge lake ni zero brain kabisa.

Kinachotokea wanaua hii nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…