Ni wapi naweza kupata Kiwanja cha chini ya milioni 4 kwa Dar es Salaam?

Ni wapi naweza kupata Kiwanja cha chini ya milioni 4 kwa Dar es Salaam?

Habari Wana JF,

Natafuta Kiwanja Dar es salaam Cha bei poa Chini ya Mil 4

Vigezo;
  • Eneo liwe lina upatikanaji wa maji na umeme
  • Pasiwe mbali sana na Mji(Ndani ya dar es salaam)
  • Eneo la kutosha vyuma ya vyumba 3 na choo 2.
Taja eneo kwa square meter nione kama naweza kukumegea
 
Habari Wana JF,

Natafuta Kiwanja Dar es salaam Cha bei poa Chini ya Mil 4

Vigezo;
  • Eneo liwe lina upatikanaji wa maji na umeme
  • Pasiwe mbali sana na Mji(Ndani ya dar es salaam)
  • Eneo la kutosha vyuma ya vyumba 3 na choo 2.
Kibaha Mkoani
karibu 2.5 Km toka barabara kuu kuna mradi wa Viwanja vilivyo pimwa na kupangiliwa vizuri

#Umeme
#Maji
#Barabara
iliyo chongwa vizuri inapitika ktk hali zote
Nicheki nikuunganishe na wahusika ukajichagulie mwenyew kiwanja chako kizuri

NB
Mwendokasi zina fika sasa hivi kibaha hivo suala la usafiri ni Mseleleko
 
Back
Top Bottom