Ni Waziri gani alikwenda gerezani kumshawishi Freeman Mbowe?

Mtoa mada hacha kumchongea Lema yeye alisema yakuwa kabla Mbowe hajakamatwa alitafutwa na Waziri ambae ni yule chakunbimbi
 
Sitaki kabisa mimi kusikia upumbavu huu wa Lema na Mbowe.Kubuni habari ili ionekane serikali inashulishwa na swala la Mbowe ni upuuzi.Yeye a,subiri haki itatendeka tu,yeye siyo gaidi wala muhujumu uchumi
.
Unateseka
 
Tikiti maji kabisa Kama Lema space za saa Mbili anachangia vizuri, anashindwa kupanga muda ata Kama Ni usiku wa manane kuwasiliana na Mbowe
Halafu huko jela au mahabusu kuna access ya space usiku wa manane.Hivi kwenye kichwa chako kuna makamasi au ubongo.
Yaani Mbowe anaamka usiku wa manane kushiriki kwenye space tena akiwa mahabusu.Huku Mbowe akilalamika kwamba wakitoka kwenye kesi wanakuta wenzao wamelala?Unaishi kwenye sayari gani wewe kiazi?
 
Lema nae aache mipasho....yaani sometimes nasikitika chadema kuwa na mtu wa sampuli hii....siasa zake zimepitwa na wakati.
 
Reactions: Tui
Lema siyo wa kumwamini sana!

Zitto Kabwe siyo Waziri ni KC.
Sabaya alionywa na lema na akaambiwa atafungwa leo yupo wapi?

Bashite alionywa leo yupo wapi?

Magufuli alionywa na akaambiwa atakufa leo yupo wapi?
 
Havimuathiri wakati juzi mmeenda kutembeza bakuli na kupata 500£ kwa kusema mna demokrasia,,,na viuno mkakata airport kumpokea SSH

Yes demekrasia ipo, hata ww hayo unayoandika unaandika because ya demokrasia sehemu ambayo serikali yake sio ya demolition usingedhubutu kusema watu wameenda kukata viuno
 
Kwa hiyo Lema,ndio chawa wa Mbowe hadi ayajue yeye hayo kabla ya Katibu wa Chama?

Na hiviiii wafungwa wanaruhusiwa kupiga simu tena kuongea na walio nje ya nchi?

1. inawezekana mtoa mada amekosea ktk maelezo yake. Lema hakusema kwamba ameongea na Mbowe.

2. inawezekana Lema amedanganya kwamba ameongea na Mbowe. Na mtoa mada ameripoti alichosema Lema kwa usahihi.

3. inawezekana mtoa mada amedanganya na amelenga kupotosha wasomaji wa JF.
 
Pipoz wanatumia udhaifu wa mwanmke kutafuta political mailage mbna kipindi Cha jiwe Hakuna hata mwanaume yeyote aliyedhubutu kunyanyua shingo yake akabaki salama bila kupata dhoruba kali.

Ndio maan mama anaona kbsa mbona kipindi Cha jiwe akuna madai yoyote iweje iwe kwake au kwa vile yeye Ni mwanamke ? haya yanamsumbua sana mam SSH siyo kingine

Au nasema uongo ndugu zangu "ndivyo ilivyo nasema kwerii kweli

Hakuna Cha ugaid Wal nn Ni infriority complex ndicho kinachombsumbua mam wetu

Anyway poleni sna San hakna dhahabu bila kupitia kwenye Moto mkali
 

Mbowe hana ushawishi wowote Tanzania. Heri kwa mbali Lissu Ana misukule Yake. Sielewi eti wakae meza moja wagawane madaraka. Mbowe aligombeaga nini akafanikiwa? Mwenyekiti wa kudumu haki anaijulia wapi. Hizo Siasa na mbinu zake huko vyamani na neno Haki Ni wapi na wapi. It’s a very stupid mada.
 
Kwa hiyo kuna mtu akitaka kufa leo ataacha wosia Mbowe aachiwe na mwambieni anisamehe.
 

Stories kama hizi mngekuwa mnaziacha huko huko kwenye vijiwe vya kahawa badala ya kuzileta hapa kupotezea watu MB na muda wao bure! Billicanas ya kumrudishia Mbowe iko wapi, kwa mfano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…