Ni wazo tu: Wachaga wahamishwe maeneo ya Mlima Kilimanjaro!

Sawa tu mkuu hakuna shida.
 
Kuna sehemu kukakosekana Ndumba?!! [emoji16]

Zingekuwa ndizo zinazomaliza mchezo kila zikifanywa basi wapalestina wangemtandika nazo NETANYAHU[emoji1787]

#JMT milele dumu[emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Basi hazina faida sasa maana mnateseka na mtu alie washinda kila kitu msaada pekee ulikua ndumba🤣🤣
 
Bora hata huko wapo wachaga wana ustaarabu wa kutunza mazingira, ingekua ni kina sabina wanakaa huko utakutana na maganda ya miwa hadi kwenye kilele cha mlima......
Heri hata wamasai wanatunza mazingira yao hawakati miti wapo natural

Moshi sasa,majangaaa.......

Kila mtu kakatiwa vipande vya 20x20 kila mtu kajenga vibanda...

mgomba wote umeondoka..kahawa yote imetoka...

ukame umeingia....

mifugo hakuna...

pamkua kama Mbagala

Kila mjinga anajenga....yaani hadi mtoni.....

Moshi ni janga linasubiri kulipuka tu....

Nikiangalia kijiji nachotoka mpaka nalia yaani
 
TU
Tukiendelea kukubali kuondolewa Kwa wengine kwenye maeneo Yao basi tujiandae maana watawala hawataishia Kwa wamasai
 
Walihamishwaga zamani kupisha uhifadhi wa mlima. Wengine walipewa mashamba Kahe ili waweze kuendeleza shughuli za kilimo. Wanaoishi kwenye bufferzone ya mlima hawaruhisiwi kulima
 
Mkuu Maso, sasa umefikiria nini haswa?
Nanyi huko kwenu Mbeya utalii ukikolea muhamishiwe wapi!
 
Labda kwenu kumekauka

Sehemu huitazami lazima kukauke

Kwetu kuna mifugo, kuna kijani kama chote
Your browser is not able to display this video.

Juzi nimechinja mbuzi nane, nilipunguza maana wako wengi

Wazee wa kisusio mmeelewa kitu. Though situmii kabisa...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…