Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fikra
Kilimanjaro
Sawa tu mkuu hakuna shida.View attachment 3075375
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanaokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomera , Kilindi Tanga.
Kama imewezekana Ngorongoro, huku tutashindwa nini?
Wasalaam Aleikhum.
NB
Sitaki matusi.
Wap huku mkuu?
Huku kunaitwa Mkuu, Rombo.Wap huku mkuu?
Kwa spidi tuliyoanza nayo, kila kwenye kivutio cha utalii inabidi wahame tu.Wazanzibar nao wahamishwe wanaharibu mazingira ya visiwa
Basi hazina faida sasa maana mnateseka na mtu alie washinda kila kitu msaada pekee ulikua ndumba🤣🤣Kuna sehemu kukakosekana Ndumba?!! [emoji16]
Zingekuwa ndizo zinazomaliza mchezo kila zikifanywa basi wapalestina wangemtandika nazo NETANYAHU[emoji1787]
#JMT milele dumu[emoji7][emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Heri hata wamasai wanatunza mazingira yao hawakati miti wapo naturalBora hata huko wapo wachaga wana ustaarabu wa kutunza mazingira, ingekua ni kina sabina wanakaa huko utakutana na maganda ya miwa hadi kwenye kilele cha mlima......
Tukiendelea kukubali kuondolewa Kwa wengine kwenye maeneo Yao basi tujiandae maana watawala hawataishia Kwa wamasaiView attachment 3075375
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanaokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomera , Kilindi Tanga.
Kama imewezekana Ngorongoro, huku tutashindwa nini?
Wasalaam Aleikhum.
NB
Sitaki matusi.
In simple terms, thats my point.TU
Tukiendelea kukubali kuondolewa Kwa wengine kwenye maeneo Yao basi tujiandae maana watawala hawataishia Kwa wamasai
Mkuu Maso, sasa umefikiria nini haswa?View attachment 3075375
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanaokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomera , Kilindi Tanga.
Kama imewezekana Ngorongoro, huku tutashindwa nini?
Wasalaam Aleikhum.
NB
Sitaki matusi.
Wallahi washagga wataria!meku meku meku yesuu namarrriaa.
Labda kwenu kumekaukaHeri hata wamasai wanatunza mazingira yao hawakati miti wapo natural
Moshi sasa,majangaaa.......
Kila mtu kakatiwa vipande vya 20x20 kila mtu kajenga vibanda...
mgomba wote umeondoka..kahawa yote imetoka...
ukame umeingia....
mifugo hakuna...
pamkua kama Mbagala
Kila mjinga anajenga....yaani hadi mtoni.....
Moshi ni janga linasubiri kulipuka tu....
Nikiangalia kijiji nachotoka mpaka nalia yaani
Ungefanya nn kwa mfano?😁😁Una bahati sana ,apo mwishoni😁