Ni wazo tu: Wachaga wahamishwe maeneo ya Mlima Kilimanjaro!

Hao wachaga wanaishi juu ya huo mlima ?
 
Wewe ni KIAZI
 
Wamasai nao bwana wametunza mishuka, mipanga na shanga wakasahau kutunza na ndumba za wazee wao ....huyo anae wahamisha wangempiga chuma cha kimasai tukafunga bendera nusu mligoti fasta sasa wanalia lia tu kifara.
 
Naunga mkono hoja
Baada ya hapo
Pia wazanzibar wote wahamishishiwe kilindi

kile kibaki kisiwa Cha utalii tu
Waswahili wanakichafua tu 😀
 
Hilo ni jambo zuri sana.
Tatizo ni fidia ambayo serikali haiwezi kumudu maana kwa maendeleo yao kulivyo mhhh oystabay ndogo, lakini pia serikali imefuta kata moja mkoani humo wilayani rombo kata ya motamburu.
 
Natokea Rombo, Kilimanjaro. Walishakuja kutaka kutihamisha zaidi ya mara moja, mipango inashindikana

Ila naona mmeamua kwa bidding aasa kutuhamishia same
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…