Nasikia Vijiji vya Rombo navyo vimeshafutwa?!Natokea Rombo, Kilimanjaro. Walishakuja kutaka kutihamisha zaidi ya mara moja, mipango inashindikana
Ila naona mmeamua kwa bidding aasa kutuhamishia same
Utaratibu waliokuja nao kuwa wanalipa miti na majani, uliwaharibia sana. Gharama ni kubwaNasikia Vijiji vya Rombo navyo vimeshafutwa?!
Kama wanalipa FIDIA ILIYONONA na mnaikubali basi sawa.Utaratibu waliokuja nao kuwa wanalipa miti na majani, uliwaharibia sana. Gharama ni kubwa
Kwanza tupewe autonomy yetu kama ilivyokuwa kabla ya uhuru halafu tuanze mchakato wa kuuwa CCM na viongozi wake wote.View attachment 3075375
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanaokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomera , Kilindi Tanga.
Kama imewezekana Ngorongoro, huku tutashindwa nini?
Wasalaam Aleikhum.
NB
Sitaki matusi.
Hawawez kulipa fidia ni gharama aisee kule ni kijani tuKama wanalipa FIDIA ILIYONONA na mnaikubali basi sawa.
Wewe inaonekana ni wale watu wenye chuki na wachaga kwani hii siyo post yako ya kwanza kuonyesha chuki.View attachment 3075375
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanaokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomera , Kilindi Tanga.
Kama imewezekana Ngorongoro, huku tutashindwa nini?
Wasalaam Aleikhum.
NB
Sitaki matusi.
Sasa wanataka kuwaswaga kama Mifugo hadi Msomero kama wanavyofanya kwa Wamasai wa Ngorongoro?!Hawawez kulipa fidia ni gharama aisee kule ni kijani tu
Tangazo likitoka tuu la kufanya hivyo,basi ukombozi wa pili na wa kweli wa Tanganyika ndio utakapotokea huko.View attachment 3075375
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanaokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomera , Kilindi Tanga.
Kama imewezekana Ngorongoro, huku tutashindwa nini?
Wasalaam Aleikhum.
NB
Sitaki matusi.
Mimi binafsi siamini kwenye kuhamisha watu na kuwatoa kwenye makazi yao, ningetamani zaidi hiyo nguvu ingeelekezwa zaidi kwenye ELIMU ya utunzaji wa hizo maliasili..!!Carleen nahitaji maoni yako..
Good, kwa haya maoni hii topic ingefaa iishie hapa.. umejibu vizuri sana.Mimi binafsi siamini kwenye kuhamisha watu na kuwatoa kwenye makazi yao, ningetamani zaidi hiyo nguvu ingeelekezwa zaidi kwenye ELIMU ya utunzaji wa hizo maliasili..!!
tukisema tuwahamishe tutahamisha wepi na kuacha wepi..? Sote tunafahamu kuwa asilimia kubwa sana ya nchi yetu imezungukwa na ardhi yenye kila aina ya utajiri, tutafika pahala itabidi tuhamishe wakazi wa nchi nzima sasa..!
Ila ukhalisia unabaki pale pale hakuna nguvu yoyote inawekwa kwenye kulinda vivutio vyetu, tunataka tu faida bila kutengeneza mazingira madhubuti ya kulinda mazingira yetu..!!
Usinifanye niandike gazeti kwa uchungu mkuu kwa yanayotendeka..!!
Kuna sehemu kukakosekana Ndumba?!! [emoji16]Wamasai nao bwana wametunza mishuka, mipanga na shanga wakasahau kutunza na ndumba za wazee wao ....huyo anae wahamisha wangempiga chuma cha kimasai tukaseka ina lilahi fasta sasa wanalia lia tu kifara.