MzaramoTz
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 1,850
- 3,041
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulimwengu ndio mama ilikuwa ni intro tu mkuu...sio wimbo!!
Nipe namba pm..nikutumie whatsapp hapa nashindwa kuweka...
Dah, Huyu jamaa ni google ndogo aisee nimefanikiwa kupata nyimbo nyingi kutoka kwake.
Mkuu natanguliza shukrani nyingi sana kwako na mkuu KIOO aisee mmenisaidia sana wakuu.
Much respekt kwenu wakuu.
👊🏽👊🏽👊🏽
1. Miiko Kumi Ya Rap - GK. ✔️
2. Kama Unataka Kuja Home - Daz P
aka BWANA MKUBWA. ✔️
3. Fanani - FANANI. ✔️
4. Unanikumbusha Madem - CHIVALO. ❌
5. Majukumu - JAY MOE. ✔️
6. Kiraka Juu Ya Kiraka - COMPLEX. ✔️
7. Rusha Mikono Hewani - P FUNK. ❌
8. Tupo Town Maisha Kama Vitan - MAPACHA 50/50. ✔️
9. Yamenikuta - GWM. ✔️
10. Nawaza - CHINDO MAN. ❌
Okay fine ila ungefanya kushea na hapa jukwaani kwa niaba ya wadau pia.
Tuko pamoja sio.
sasa na wewe umezipata kwa nini usiweke hapa tushushe na wengineDah, Huyu jamaa ni google ndogo aisee nimefanikiwa kupata nyimbo nyingi kutoka kwake.
Mkuu natanguliza shukrani nyingi sana kwako na mkuu KIOO aisee mmenisaidia sana wakuu.
Much respekt kwenu wakuu.
[emoji1420][emoji1420][emoji1420]
Nenda you tube andika, bure bado wasumbuka, utakuja.Hbr natafuta wimbo wa ddc au juwata, unaimbwa sijui, nahodha naongoza......, na mwingine unakibwagizo, miba inachoma si rahisi kutoka ndege samaki na miti usitumie kwa pupa... mwenye kuujua iweke hapa
Okay fine ila ungefanya kushea na hapa jukwaani kwa niaba ya wadau pia.
Tuko pamoja sio.
Aisee,,sana ngoma za kitambo nilikuwa nazitafuta,,nimezipata
Pamoja sana wadau.
sasa na wewe umezipata kwa nini usiweke hapa tushushe na wengine
Jamani mwenye hizo ngoma naomba atupie hv