Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Jaman kuna band ya zaman kidogo ilikuwa inaitwa kata kiu ya dance ila cna uhakika km jina lake sahihi ndo hilo baadhi ya nyimbo zake ni km shangingi na mwingne mbio za sakafuni huishia ukingoni je kuna mtu anawimbo wake hata mmoja?
 
Mwenye Ngoma km darasa huru. Yamenikuta gwm. Huyu jamaa. Super wabongo. Miko 10 ya rap. Kila mtu starehe yke. Kifupi ngoma zote za 2003 kushuka chini...
 
Blalbasketi!!


Mulemule mwanangu,!


Mwenye nao afanye msaada aisee[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Hahahahah.

JamiiForums ni kubwa sana ngoja tusubiri mdau mwenye HAZINA ya kutosha ataweza kuwa nao mkuu.

Pengine hata mwenye wimbo husika anaweza akawepo humu.

Aisee Chivalo kama unatuskia tunaomba huu wimbo aisee.

UNANIKUMBUSHA MADEM.
 
Nimeukumbuka wimbo wa MAK-D unaitwa SUGAR MUMY ft DULLY SYKES..
Mwenye nao autupie
 
Natafuta track ya Kalapina ambayo amewa-diss Dudu Baya,PFunk,Miraji Kikwete jina nimelisahau
 
Natafuta Mnanda mmoja unaitwa "Marumbano ya Konda na Mgambo" huwa unatumika kama kionjo kwenye kipindi cha Uswazi cha EATV
 
Mwenye Ngoma km darasa huru. Yamenikuta gwm. Huyu jamaa. Super wabongo. Miko 10 ya rap. Kila mtu starehe yke. Kifupi ngoma zote za 2003 kushuka chini...

Hizo nyingine zipo hapo juu pitia uzi utaziona.

Hiyo Super Wabongo sijaielewa bado.

ENJOY THE MUSIC.
 

Attachments

Hizo nyingine zipo hapo juu pitia uzi utaziona.

Hiyo Super Wabongo sijaielewa bado.

ENJOY THE MUSIC.
Shukran sana mkuu!!

Kuna ngoma ya
Waswahili -Pengo

Mike Tee ft Lady Jay Dee jina la wimbo nmesahau ila ni ngoma yake ya mwanzo kabsa(kama sijasahau ilikuwa inaitwa bongoland)

Joh Makin -Dakika 90

Soneli -Posta (sina uhakika sana na jina la msanii)
 
Naomba wimbo wa marehem John woka choras inasema,"beibe beibeeee Nakupenda....."
 
Niko zangu mtoni New York City nimejipumzisha na Show&AG na Spit!



Sidhani kama kuna something hardest in this world than New York grimy boom bap hiphop sound of 90's!Never
 
Back
Top Bottom