Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Shukran sana mkuu!!

Kuna ngoma ya
Waswahili -Pengo

Mike Tee ft Lady Jay Dee jina la wimbo nmesahau ila ni ngoma yake ya mwanzo kabsa(kama sijasahau ilikuwa inaitwa bongoland)

Joh Makin -Dakika 90

Soneli -Posta (sina uhakika sana na jina la msanii)
Ya Mike T ni Nyaluland...

Uko sawa Sonel ndo aliimba Posta

Pengo ya Waswahili moja ya ngoma bora sana toka kwa hawa jamaa
 
MSAFIMEDIA.COM.png

mp3-16 (1).png
 
Asante sana mkuu
Ya Mike T ni Nyaluland...

Uko sawa Sonel ndo aliimba Posta

Pengo ya Waswahili moja ya ngoma bora sana toka kwa hawa jamaa
Nyaluland ilikuwa iko vizuri sana..

Sonel -Posta...jamaa alikuwa ana aflow flan hv,,

Pengo ya Waswahili

Kama unazo mkuu,,share hapa
 
Kuna goma moja la kibabe Ngwair{RIP} alimshirikisha Juma Nature bahati mbaya nimesahau verse na chorus ila hapa napoandika beats zake zinanijia kichwani ila kuuelezea zaidi kwa ufasaha nashindwa ila beat lake likitaka kufanana na beat la Shock Ones la Mobb Deep naomba mwenye nayo hii ngoma anipe link.

Thanks in advance wakuu.
 
Kuna app flani ni nzuri sana kwenye nyimbo yaani ukishajua jina LA wimbo na mpigaji wimbo huo na ukaserch bas ni rahisi sana kupata wimbo huo,
 
Kuna goma moja la kibabe Ngwair{RIP} alimshirikisha Juma Nature bahati mbaya nimesahau verse na chorus ila hapa napoandika beats zake zinanijia kichwani ila kuuelezea zaidi kwa ufasaha nashindwa ila beat lake likitaka kufanana na beat la Shock Ones la Mobb Deep naomba mwenye nayo hii ngoma anipe link.

Thanks in advance wakuu.
Au Msela wako na Kr Mulla pia
 
Kuna ngoma moja ya songa na ghetto ambassador.
Songa ana chana " duke anasema songa unaandika ka sean P"

Siijuagi jina na nili download nyimbo zao zote bila mafanikio kuipata.

Mwenye nayo asaidie hata jina tu.
 
Back
Top Bottom