Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Jamani kuna huu wimbo, ni wakitambo hvi.. Miaka kama 2007,2008 ilibamba sana.. So naomba jina
la wimbo na wasanii waloimba, maana yupo Boy na girl..
Nafahamu kiitikio tu cha huyo girl
"Mwenzio naogopa.. Naogopa nitajikata mie.. Huuuuu uuuuumama"
Jamani, hz ni fani za watu me siwezi kuimba ila nadhan mtakuwa mumeupatapata huo wimbo..
 
Kuna goma moja la kibabe Ngwair{RIP} alimshirikisha Juma Nature bahati mbaya nimesahau verse na chorus ila hapa napoandika beats zake zinanijia kichwani ila kuuelezea zaidi kwa ufasaha nashindwa ila beat lake likitaka kufanana na beat la Shock Ones la Mobb Deep naomba mwenye nayo hii ngoma anipe link.

Thanks in advance wakuu.
Sio ile ya "mtoto wa jakaya"
 
Back
Top Bottom