MzaramoTz
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 1,850
- 3,041
Shukran sana mkuu!!
Ukipata na ngoma ya Mike Tee -Nyaluland ft Lady Jay Dee,,,ishushe mzee
Pamoja sana aisee usiwaze sio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran sana mkuu!!
Ukipata na ngoma ya Mike Tee -Nyaluland ft Lady Jay Dee,,,ishushe mzee
Pamoja sana kamanda. Mie ni mpenzi tu wa flava na hip hop za zamani, sio DJ. Huwa nakusanya collections tu popote nikizikutaAiseeee, wee jamaa una hatari sana mkuu.
Natumai utakuwa ni mmoja kati ya MA-DJ waliopo kwenye radio moja kubwa sana mkuu.
Ntakuwa nakosea sana kama sitasema HESHIMA KWAKO MKUU ntakuwa ni mchoyo wa fadhila aisee.
Kwa kuanza tu kwanza naomba hiyo ngomae Mr.Prezzo G aisee. Ni hatari sana hiyo ngoma bro. Ni ya moto zaidi ya band mkuu.
Thanks a lot bro.
Ruka na namba inbox nikurushie whatsappShukran sana mkuu!!
Ukipata na ngoma ya Mike Tee -Nyaluland ft Lady Jay Dee,,,ishushe mzee
Unayo hii track?Inaitwa Beef
posta
Inaitwa mselaKuna goma moja la kibabe Ngwair{RIP} alimshirikisha Juma Nature bahati mbaya nimesahau verse na chorus ila hapa napoandika beats zake zinanijia kichwani ila kuuelezea zaidi kwa ufasaha nashindwa ila beat lake likitaka kufanana na beat la Shock Ones la Mobb Deep naomba mwenye nayo hii ngoma anipe link.
Thanks in advance wakuu.
ipo nitaiweka...Mkuu huyu sonell ukiacha hii nyimbo ya posta,ananyimbo nyingine inaitwa Kimeo kama unayo tupia kiongozi
Wimbo mtamu sana
Shukrani sanaHii Hapa
Nami natumia PC, ndo nashindwa ku attach. Nielekeze niwarushe rohonimetumia pc...kwa simu mwenyewe nimechemka
Huo hapo nimerushaMkuu huyu sonell ukiacha hii nyimbo ya posta,ananyimbo nyingine inaitwa Kimeo kama unayo tupia kiongozi
Hii hapa chini. EnjoyWakuu mwenye nyimbo ya Nash mc mitihani naomba anisaidie ahsante
Hii hapa chini. Pakua. EnjoyKuna ngoma moja ya songa na ghetto ambassador.
Songa ana chana " duke anasema songa unaandika ka sean P"
Siijuagi jina na nili download nyimbo zao zote bila mafanikio kuipata.
Mwenye nayo asaidie hata jina tu.