Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Aiseeee, wee jamaa una hatari sana mkuu.

Natumai utakuwa ni mmoja kati ya MA-DJ waliopo kwenye radio moja kubwa sana mkuu.

Ntakuwa nakosea sana kama sitasema HESHIMA KWAKO MKUU ntakuwa ni mchoyo wa fadhila aisee.

Kwa kuanza tu kwanza naomba hiyo ngomae Mr.Prezzo G aisee. Ni hatari sana hiyo ngoma bro. Ni ya moto zaidi ya band mkuu.

Thanks a lot bro.
Pamoja sana kamanda. Mie ni mpenzi tu wa flava na hip hop za zamani, sio DJ. Huwa nakusanya collections tu popote nikizikuta
 
Kuna goma moja la kibabe Ngwair{RIP} alimshirikisha Juma Nature bahati mbaya nimesahau verse na chorus ila hapa napoandika beats zake zinanijia kichwani ila kuuelezea zaidi kwa ufasaha nashindwa ila beat lake likitaka kufanana na beat la Shock Ones la Mobb Deep naomba mwenye nayo hii ngoma anipe link.

Thanks in advance wakuu.
Inaitwa msela
 
Kuna ngoma moja ya songa na ghetto ambassador.
Songa ana chana " duke anasema songa unaandika ka sean P"

Siijuagi jina na nili download nyimbo zao zote bila mafanikio kuipata.

Mwenye nayo asaidie hata jina tu.
Hii hapa chini. Pakua. Enjoy
 

Attachments

Back
Top Bottom