Mkuu naomba wimbo wa pauline zongo unaitwa.safari kama unao
Huu hapa man. Ushindwe wwNgoni tribe, manungayembe
Habari za sasa mkuu.Nimeupata huu boss
Habari za sasa mkuu.
Chuma hichi kinahitajika
1.BanzaStone_Aungurumapo simba
Shukrani Mkuu.
Sitaki Pombe nimeuweka hapo juuMzee naomba unishushie Nyimbo za Mr Ebbo,
1. Vipi hatuoni
2. Sitaki tena Pombe
3. Muwe na huruma
Mkuu nakutakia kila LA kheri ktk mambo yako.Enjoy mkuu
Wapi sijauona etiOCG-Kazeze.....
ishawekwa humu...
Wapi sijauona eti
Daaaa mkuuu ubarikiwe sana nilivyousikia tu kidogo machoz yatoke ila machoz ya mwanaume huwa yanadondokea ndani, huu wimbo nimeutafuta sana shukran sanaaaEnjoy mkuu
Mwenye wimbo wa Jos Mtambo-kizazaa
SOS b-Kukuru kakara zako
2proud-ni mimi
Hardblasters-weusi twapendeza
Naomba anisaidie kutupia humu
Waungwana natafuta nyimbo mbili moja inaitwa kithatha(ni wakati wa kujilinda sasa mtakoma mtaenya na kithatha) jamaa aliimba chorus kama mtu mwenye kithembe kwenye ulimi! Mwingine wa jamaa walikua wanaitwa big dog pose
1:NAOMBENI NYIMBO HIZI:-
SI ULILETA NYODO - WA DAJOO
2:WAPE VIDONGE WA SUMA G
3:TUMBO DENI LA DUNIA WA USWAHILINI MATOLA
4:JIKO LIMENUNA WA ZIG ZAG CREW
5:HEKAHEKA ZA TEACHER WA G SOLO NA INSPECTOR HAROUN
6:SITAKI DEMU RMX WA J NATURE ILA SIKUMBUKI ALIEMSHIRIKISHA.
NINGESHUKURU SANA KUZIPATA HIZI SABABU NIMESHAZITAFUTA HADI NIMECHOKA.
Aisee mimi natafuta ngoma za xplasta ...wakina faza Nelly
Yap mkuu ndo haoShakii na Avir sio...
Kama una nyimbo zao zidondoshe mkuuShakii na Avir sio...
Unataka wimbo gani?Yap mkuu ndo hao
Kuna wimbo wa viraka f.t q jay unaitwa niambie ukweli kama sijakosea nauomba pia kuna wimbo wa PNC unaitwa mama na dhan ndio wimbo wakwanza kwanza enzi izo anaingia dar pia natafuta wimbo wa stive rnb unaitwa msamaa una maadhi ya rege pia nahisi ndio wimbo wake wa kwanza@kioo na watu wengine msaada wa hizo nyimbo
Kama una nyimbo zao zidondoshe mkuu