Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sikutaka ni-comment chochote zaidi ya kushusha vyuma chakavu tu ila kwa comment yako hii imenifanya ni-comment na nimejikuta nafurahi tu mkuu.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ngoja nikupe zawadi, waskilize kaka na dada aisee. ENJOY.

Habari mkuu.
Vyuma vingine hivi hapa navihitaji tafadhali.
1.JumaNature_Hili gemu
2.Gk ft F.A_Hii Leo
3.AY_Raha tu
4.Banza stone_Mshenga wangu naomba nikutume.

Fanya kweli mkuu.

Shukrani.
 
Habari mkuu.
Vyuma vingine hivi hapa navihitaji tafadhali.
1.JumaNature_Hili gemu
2.Gk ft F.A_Hii Leo
3.AY_Raha tu
4.Banza stone_Mshenga wangu naomba nikutume.

Fanya kweli mkuu.

Shukrani.
 
Attachments

Nash g mambo bado pia naomba wa o ten voice mail Na wa viraka f.t q jay unaitwa niambie ukweli pia steve rnb unaitwa msamaa una maadhi ya rege nadhan ndio wimbo wake wa kwanza kuutoa baada ya kushirikishwa na mr blue kwenye tabasamu.nawasilisha
 
Unataka wimbo gani?
Habari za Sasa mkuu
Tafadhali mkuu hizi nyundo naziomba.
1.Gk ft Mwana F.A_Hii Leo
2.AY_Raha tu
3.Banza stone_Mshenga wangu naomba nikutume.

Naomba kuwasilisha mkuu.

Jamani, kuna wimbo flani hivi wa Msanii anaitwa Mwiju akiwa amemshirikisha QJay unaitwa ' siwajui Mademu' Mwenye nao tafadhali
 
Back
Top Bottom