Bajuda
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 226
- 254
πππππ
Sikutaka ni-comment chochote zaidi ya kushusha vyuma chakavu tu ila kwa comment yako hii imenifanya ni-comment na nimejikuta nafurahi tu mkuu.
πππππ
Ngoja nikupe zawadi, waskilize kaka na dada aisee. ENJOY.
Habari mkuu.
Vyuma vingine hivi hapa navihitaji tafadhali.
1.JumaNature_Hili gemu
2.Gk ft F.A_Hii Leo
3.AY_Raha tu
4.Banza stone_Mshenga wangu naomba nikutume.
Fanya kweli mkuu.
Shukrani.