Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Nakupenda sana hip hop zaidi ya machizi wangu wa kitaa, acha nnao kesha nao baa
Pole kwa yaliyokukuta, amini mi ni mteule machozi nitakufuta dear

We ndiyo urithi tulioachiwa na bro PAC na BIGGY, njoo tuwe pamoja kama "ino mic na ziggy"
Achana na mabishoo wanaokutongoza Leo halafu wanakuacha kesho......

Hii ngoma baada ya Madee kuimba hip hop haiuzi.
 
NASHUKURU SANA HILI JUKWAA SABABU KUNA NYIMBO KALI NILIKUA NAZISIKILIZA TOKA NIPO PRIMARY SCHOOL NA SIKUA TENA NA MATUMAINI YA KUZIPATA ILA HAPA NIMEZIPATA.
NAWASHUKURU SANA.
 
NASHUKURU SANA HILI JUKWAA SABABU KUNA NYIMBO KALI NILIKUA NAZISIKILIZA TOKA NIPO PRIMARY SCHOOL NA SIKUA TENA NA MATUMAINI YA KUZIPATA ILA HAPA NIMEZIPATA.
NAWASHUKURU SANA.
 
NARUDI KWA OMBI LINGINE SABABU KWA SISI WA ENZI HIZO TUKISIKILIZA HIZI NGOMA TUNAKUMBUKA MAMBO MENGI SANA.
1: NAOMBA NGOMA YA GHETO MSOTO YA CHEMBA SQUAD
2: UNIQUE SISTERS - MAKE YOUR BUMS
3: BIRTHDAY YA HK - YA HK
4:BORA UOMBE MAUTI - YA FAGIO LA CHUMA.
5: BLACK SKULL - BALAA
6; MAMA MWENYE NYUMBA - GWM

MTANIVUMILIA SANA KWA MAOMBI MENGI YA HIZO NYIMBO ILA NAJUA WENGI TUNAZIPENDA ILA TULIZISAHAU TU MAJINA.
 
jamani natafuta hizi nyimbo ila sizijui majina wala wasaniii walioimbA ila najua wanaimba hivi
1. sisinyo sisinyo komoro komoro sisinyo sisinyo komoro komoro
2. mnali nali milanje, mnali nali milanje sososnoo

jamaani nisaidie nizipate hua nazisikia kwa redio tu
 
Mwenye wimbo kashilikishwa PNC unaitwa sema ni nikufanyie... plz tuma hapa... sijui kama nimepatia jina ila chorus iko zaidi katika hayo maneno..
Sema nn nikufanyie
Uendelee kuwa na miee...
 
Kuna goma fulani la pfunky majani linaitwa 'ndani ya club ft Bodea na masela wengine nalihusudu sana nitafurahi kama nalo litapatikana likawekwa hapa
 
Mkuu nifanyie msaada ngoma ya PNC kashirikishwa nadhani inaitwa nieleze au Nn nikufanyie...
 
Mwana fa na fid q ft berry black sijui inaitwaje kunasehem fid anasema

"Nikisimama sidondoki...//

Napenda unavyonitania eti nimechanjia dodoki...//

Mexicana lacavela Ngoma inaitwa lunduno

Baghdad anamchana Nikki mbishi

"Ukinishinda Kwa bato basi nitakupa bato...//
 
Mwenye wimbo nahic wa rah p enzi hizo siujui jina ila nakumbuka kwe chorus anaimba 'nakupenda mpz nakupenda ooooh nambie kama kwel utaniweza'
 
Mwana fa na fid q ft berry black sijui inaitwaje kunasehem fid anasema

"Nikisimama sidondoki...//

Napenda unavyonitania eti nimechanjia dodoki...//

Mexicana lacavela Ngoma inaitwa lunduno

Baghdad anamchana Nikki mbishi

"Ukinishinda Kwa bato basi nitakupa bato...//
 
Attachments

Back
Top Bottom