Tuko Wengi baba Hata Mimi nawashkur sana hasa Hawa viumbe wawiliNASHUKURU SANA HILI JUKWAA SABABU KUNA NYIMBO KALI NILIKUA NAZISIKILIZA TOKA NIPO PRIMARY SCHOOL NA SIKUA TENA NA MATUMAINI YA KUZIPATA ILA HAPA NIMEZIPATA.
NAWASHUKURU SANA.
Mmeninyima wimbo wa ccm mbele kwa mbele varsion 2
Shukrani sana mkuu nilikua nautafuta sana huo nimekubamba. Aisee ubarikiwe mnoUliyeomba Za Enika Nimeongeza hizo
Kuna goma fulani la pfunky majani linaitwa 'ndani ya club ft Bodea na masela wengine nalihusudu sana nitafurahi kama nalo litapatikana likawekwa hapa
Mwenye wimbo kashilikishwa PNC unaitwa sema ni nikufanyie... plz tuma hapa... sijui kama nimepatia jina ila chorus iko zaidi katika hayo maneno..
Sema nn nikufanyie
Uendelee kuwa na miee...
Mwana fa na fid q ft berry black sijui inaitwaje kunasehem fid anasema
"Nikisimama sidondoki...//
Napenda unavyonitania eti nimechanjia dodoki...//
Mexicana lacavela Ngoma inaitwa lunduno
Baghdad anamchana Nikki mbishi
"Ukinishinda Kwa bato basi nitakupa bato...//
NARUDI KWA OMBI LINGINE SABABU KWA SISI WA ENZI HIZO TUKISIKILIZA HIZI NGOMA TUNAKUMBUKA MAMBO MENGI SANA.
1: NAOMBA NGOMA YA GHETO MSOTO YA CHEMBA SQUAD
2: UNIQUE SISTERS - MAKE YOUR BUMS
3: BIRTHDAY YA HK - YA HK
4:BORA UOMBE MAUTI - YA FAGIO LA CHUMA.
5: BLACK SKULL - BALAA
6; MAMA MWENYE NYUMBA - GWM
MTANIVUMILIA SANA KWA MAOMBI MENGI YA HIZO NYIMBO ILA NAJUA WENGI TUNAZIPENDA ILA TULIZISAHAU TU MAJINA.