Mkuu fanya msaada ngoma ya BIG JAHMAN ANANIKUNYWA..Sababu Bomba - Complain ft Dully Sykes
Mkuu fanya msaada ngoma ya BIG JAHMAN ANANIKUNYWA..
Nitajazia nyama mkuu unaweza ukawa nayo hii ngoma labda nimeielezea jinsi ambayo huijui.Mwenyewe zinakuja zinapotea... ilikuwa kama crew hiv
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
ft Solo ThangJamani msaada nyimbo ya Q chilla inaitwa 'unaitwa nani'
Chorus: "unaitwa naniii nanii anti samahaniii unaishi wapi wapiiii ningependa fahamu...."
Sio Sawa - Say Nag ft Beka
Rudi - Say Nag
HUO WIMBO UMESHATUMWA PITIA UZI VIZURI.Wakuu wimbo wa Dark Master-Nimepamiss Hone tafadhali saana
Nitumieni
hii ishawekwa humu... pitia post za nyumaNgoma ya Neckbreakers-kidogo tu
Mwenye nyimbo ya Nuruelly inaitwa tumeagizwa upendo
Mkuu naomba hii tafadhali.mkuu kama una nyimbo Za African Revolution Wana Tam Tam naziomba...
Mkuu naomba hii tafadhali.
1.Wakali kwanza_Natamani
Shukrani.