Sijui ni John walker yule anaimba hivi "kama maisha yenyewe ndio hayaaaa,bora nizamie niende ulaya." Hapa walikuwa wanamwongelea bitozi anataka kuzamia ulaya hata kingereza hajui nimeitafuta sana CC Idimi KIOO
Umeupata ndugu.
Huu hapa chini. Enjoy
 

Attachments

Kama kuna mtu kaiweka basi apongezwe. Hii hapa
 

Attachments

Mwenye ako na nyimbo za Mack Dizzo_Jumba bovu na zingine msaada wakuu
 
Mie natafuta wimbo mmoja japo sidhani kama jina ni sahihi.

Ni kati ya "Ashura" au "Happy Birthday" wa Hayati Fred Ndalla Kasheba.

Pia nikipata nyimbo za album nzima ya Kesi ya kanga Part I na II.

Niko tayali kuchangia fedha nizipate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…