Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha poa mkuu... Mungu ni mwema utarudi salama tu!!Gwankaja nikirudi kutoka katika mashimo ya mfalme suleimaan sintakusahau na huyu bwana mkuu kioo.
Niombeeni dua nirudi salama.
Shukrani mkuu ila bado mmoja wa Nash MC unaitwa MpenziUmeupata ndugu.
Huu hapa chini. Enjoy
hii ishawekwa humu... pitia post za nyuma
Nisaidie tu mkuu nmepekua adi nmechemka. Sorry kwa usumbufu
Tumia "SEARCH" pale juu kabisa, utaupata!Nisaidie tu mkuu nmepekua adi nmechemka. Sorry kwa usumbufu
Kama kuna mtu kaiweka basi apongezwe. Hii hapaEbhana eeh! Nilikuwa naitafuta nyimbo moja naikubali vibaya mno, yaani dakika chache zilizopita ndiyo nimeipata. Roho 7 jina la msanii, nakupenda hip hop ndiyo jina la ngoma.
Najitahidi sana kutosikiliza miziki, ila hip hop huwa inanipa changamoto sana.
Huu hapa. EnjoyWakuu wimbo wa Dark Master-Nimepamiss Hone tafadhali saana
Nitumieni
Hii hapa man. EnjoyMwenye ako na nyimbo za Mack Dizzo_Jumba bovu na zingine msaada wakuu
Hii hapa man. Enjoy
Mwenye ako na nyimbo za Mack Dizzo_Jumba bovu na zingine msaada wakuu