Nautafuta wimbo unaitwa "sanura,umeimbwa na marehemu Tongolanga"
Wimbo huu nadhani ni wa zamani lakn niliusikia mwaka Jana (2016) mwishoni nikiwa chuo...,dahhhhhhhh! ni wimbo mzur sana
Ukiupata namimi unitag mkuu
 
Natafuta nyimbo za taarab za marehemu Nasma Khamis Kidogo, pia wimbo unaitwa IKIBINDA NKOI simkumbuki mtunzi, na wimbo SANURA wa marehemu TONGOLANGA
 
Asubuhi njema iwe nanyi wakuu.

skieni hii

"Tunaleta posa hatakama mkitutosa Γ— 2 "

1.Banana zoro_Mama gumbena.

Tafadhali naomba hii nyundo.

#TeamBajuda

Shukrani.
 
Bongo records team-'party la kiutu uzima'
Humo ndani chorus yupo Mangwea, kuna jeez mabov, mb doggy,c pwaa,...na wengine nimewasahau
Mwenye nae afanye kuutupia mana ni bonge la ngoma
 
Nashukuru sana gwankaja na kioo kwa ushirikiano mkubwa ulio uonyesha Mungu awabariki sana ila pia naomba kma mna wimbo wa viraka f.t q jay unaitwa niambie ukweli kama sijakosea na wimbo wa steve rnb unaitwa msamaa una maadhi ya rege nadhan ndio wimbo wake wa kwanza kuutoa baada ya kushirikishwa na mr blue kwenye tabasamu pia wimbo wa hk f.t Ester wasira unaitwa umerudia tena Na wimbo wa mshakaji mmoja wa kanda ya ziwa anaitwa mariki F. T bayo wimbo unaitwa my fellow una hadhi ya rege tone.natanguliza shukrani
 
Wakuu za jioni.

Tafadhali naomba hits song za JEEZ MABOVU.

Jeez mabovu_Mtoto wa kiume.
Na nyinginezo Kali.

Shukrani.

#TeamBajuda
 
Nashukuru sana gwankaja na kioo kwa ushirikiano mkubwa ulio uonyesha Mungu awabariki sana ila pia naomba kma mna wimbo wa viraka f.t q jay unaitwa niambie ukweli kama sijakosea na wimbo wa steve rnb unaitwa msamaa una maadhi ya rege nadhan ndio wimbo wake wa kwanza kuutoa baada ya kushirikishwa na mr blue kwenye tabasamu pia wimbo wa hk f.t Ester wasira unaitwa umerudia tena Na wimbo wa mshakaji mmoja wa kanda ya ziwa anaitwa mariki F. T bayo wimbo unaitwa my fellow una hadhi ya rege tone.natanguliza shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…