Mkuu habari yako bhana.Hizi hazijaombwa huenda zikawafaa
Old School Hip Hop -Kenya
Kadhaa hii hapa, endeleaMkuu habari yako bhana.
Msaada wako tafadhali.
1.Nonini_Kadhaa
2.Nyanshiski_tuendelee ama tusiendelee
Naomba hizi nyundo tafadhali.
Shukrani
Ni Mbilia Bel yule. Wimbo unaitwa Sensa. Huu hapa. EnjoyIle nyimbo inaimbwa ...unipelekee kwa baba ukanitolee mahari tufunge ndo ndoa ya wote sesa sesa....ivi ni wa nan
Samahani Mkuu,naomba unisaidie nyimbo zifuatazo
1.Sanura by The Late Tongolanga ft Makondeko Music Group
2.My friend remix
3.Pia kuna wimbo aliuimba Picco akimshirikisha Mwana Fa
Mi nahitaji nyimbo za mamong'oo
Mi nahitaji nyimbo za mamong'oo
Duuu mdundo uligongwa na P funkyMkuu hongera sana kwa kuhifadhi hazina ya kutosha ya muziki.. Nambie sana wimbo wa Jay moo ft. Dude baya Nadhani na Jos mtambo waitwa nasema nachofanya.
Mkuu habari yako bhana.
Msaada wako tafadhali.
1.Nonini_Kadhaa
2.Nyanshiski_tuendelee ama tusiendelee
Naomba hizi nyundo tafadhali.
Shukrani
kastori kamoja ya jebi nisababishie hapo na diomond ft chid Benz
Dundo hili hapaMkuu habari yako bhana.
Msaada wako tafadhali.
1.Nonini_Kadhaa
Shukrani
bado kidogo bananaJamani mimi naomba
BADO KIDOGO-BANANA
BADO NAIMBA-MR. EBBO
Mkuu naomba za kalamashaka kama unazo
Mkuu kuna dude flani hiviDundo hili hapa