Msaada tafadhali kwa mwenye ngoma hizi:
Sarafina -TOT Plus
Mpende Akupendaye-TOT Plus
Yatima - TOT Plus
Usiku wa Valentine- Diamond International
Kimalumalu-Diamond International
Natanguliza shukrani.....
The Kilimanjaro band wana njenje..jina LA wimbo ndio sikumbuki..Kuna huu wimbo "maharage yako jikoni nimeshayapika nasubiri sukari ya bwana haijafka" sikumbuki Jina wakuu nakumbuka hiko kipande tu. Msaada wakuu
Kifupi mkuu watusaidie ngoma zote za kilimanjaro bend wana njenje za kitambo km njenje we njenje naki...Kuna huu wimbo "maharage yako jikoni nimeshayapika nasubiri sukari ya bwana haijafka" sikumbuki Jina wakuu nakumbuka hiko kipande tu. Msaada wakuu
Nakuletea saiv tu mkuuKuna huu wimbo "maharage yako jikoni nimeshayapika nasubiri sukari ya bwana haijafka" sikumbuki Jina wakuu nakumbuka hiko kipande tu. Msaada wakuu
Enjoy mkuuKuna huu wimbo "maharage yako jikoni nimeshayapika nasubiri sukari ya bwana haijafka" sikumbuki Jina wakuu nakumbuka hiko kipande tu. Msaada wakuu
cheKi na hizo Wengine wataongezeaKifupi mkuu watusaidie ngoma zote za kilimanjaro bend wana njenje za kitambo km njenje we njenje naki...
Shukuran sna mkuucheKi na hizo Wengine wataongezea
Pamoja sanaShukuran sna mkuu
Kuna huu wimbo "maharage yako jikoni nimeshayapika nasubiri sukari ya bwana haijafka" sikumbuki Jina wakuu nakumbuka hiko kipande tu. Msaada wakuu
Naomba Listen wa Talib Kwel na Marafiki wa Chuchu Sound
Pamoja sana Kamanda Kioo....ila nilifanikiwa kuipata ya TOT masimango na Mpende akupendaye!!
Habari bwana IdimiNingepata jina la msanii ingesaidia sana. Maayutafuta jina la wimbo kwenye huu msitu (more than 100 GB) ni kazi sana man.
Habari bwana Idimi
Kuna wimbo flani hivi wa bongo flava kitambo kidogo
Baadhi ya mashair yake Haya hapa
**Mimi Ni Dr Lida ni msambaa wewe Ni nani Ni msambaa**
Dr Lida_msambaa
Nb.. Msambaa namaanisha kabila.
Nauomba huo wimbo mkuu.
Shukrani.