severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Sawa nduguOk ngoja mafaili yapekuliwe ikipatikana inshaalah itawekwa
Sijui unaitwaje ila ameimba Amani ft. Nameless. Nahisi ukiutafuta you tube utaupataAisee. Mimi natafuta wimbo huu niliokariri mashairi yake tu. Sijui unaitwaje na sijui kaimba nani, maana nilikuwa mdogo.
Aia ia ia i, aiyaooo..aiyaoo... X2
Baba Ni hatareee sana yaani hayo mangoma sio ya kikawaidaaaaaHuyo jamaa anaitwa E-Sir (R.I.P).
Ni moja kati ya wasanii nnaowakubali sana kutoka Kenya, ukiondoa Kalamashaka. Hiyo ngoma inaitwa Boomba Train alikuwa na Nameless humo ndani. Hiyo hapo chini.
Na ngoma nnayoikubali sana kutoka kwake ni Moss Moss. Hatari sana aisee.
Feel The Vibes.
HUO WIMBO WA CAZ T UNAITWA LAST CHANCE AMEMSHIRIKISHA MAUMATHA.1. Ninaomba wimbo wa Kaz T akishirikishwa ila simkumbuki mwenye wimbo. Wimbo una maneno haya "Nilisema sikutaki, naninasema sikutaki, narudia tena oh sikutaki.....Nilikupa last chance, sasa huna nafasi
2. Mtoto akililia wembe- TOT band (Banza stone) na Papii kocha
3. Maji yakimwagika - Pamo sound
4. Voice mail - Oten
5. Visa - Zay B
6. Brandina - Snopy lee & Dully Sykes
7. Kifo cha mpenzi - Taqwa ft Dully sykes
8. Na mwingine siujui jina ni kama bolingo hivi za kibongo. Una maneno haya " Upole wako wa njiwa....sura yako tulivu kama moshi wa ndama"
9. Tembea polepole kama mzee kobe, harakaharaka mama haina baraka- Sam Mangwana au mapangala
10. Sukumawiki mchonganishi
11. Baba kaleta panya - Olduvai band
12. Ni siku ya kupendeza - Olduvai band
13.
Mkuu Rogath ngoma inaitwa Last Chance- Caz T ft. Maimartha......HUO WIMBO WA CAZ T UNAITWA LAST CHANCE AMEMSHIRIKISHA MAUMATHA.
Baadh ya maneno ya huo wimbo.... "Mbona umenuna kisa nimechelewa"
Haya Haya wakuu leo TBT
Kuna wimbo flani hivi kama skosei Ni wa Kenya au Uganda
Baadhi ya mashairi yake Haya hapa.
**Bum bumbaa bubumbu bumba uwiiii...
Bum bumbaa bumba bumbaa baa aiyaa**
Hilo dude ni hatar tatizo silijui jina wala muimbaji.
Huwa linagongwa sana club
Wakuu emu fanyeni mautundu tuone.
YanafungukaNaomba mtu anisaidie ma-file hapa kwangu yananipa alama hiyo na hayafunguki. Nidowload nini yafunguke?View attachment 968727