Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Aisee. Mimi natafuta wimbo huu niliokariri mashairi yake tu. Sijui unaitwaje na sijui kaimba nani, maana nilikuwa mdogo.

Aia ia ia i, aiyaooo..aiyaoo... X2
Sijui unaitwaje ila ameimba Amani ft. Nameless. Nahisi ukiutafuta you tube utaupata
 
Huyo jamaa anaitwa E-Sir (R.I.P).

Ni moja kati ya wasanii nnaowakubali sana kutoka Kenya, ukiondoa Kalamashaka. Hiyo ngoma inaitwa Boomba Train alikuwa na Nameless humo ndani. Hiyo hapo chini.

Na ngoma nnayoikubali sana kutoka kwake ni Moss Moss. Hatari sana aisee.

Feel The Vibes.
Baba Ni hatareee sana yaani hayo mangoma sio ya kikawaidaaaaa
Ngoja nikupe kidogo
"Moosi mooosi moosi wakienda mooosi moosi wakirudi mooosi mooasi
Harakaharaka haina baraka."

Boooooooooooom.

Noma mwanangu.
 
1. Ninaomba wimbo wa Kaz T akishirikishwa ila simkumbuki mwenye wimbo. Wimbo una maneno haya "Nilisema sikutaki, naninasema sikutaki, narudia tena oh sikutaki.....Nilikupa last chance, sasa huna nafasi
2. Mtoto akililia wembe- TOT band (Banza stone) na Papii kocha
3. Maji yakimwagika - Pamo sound
4. Voice mail - Oten
5. Visa - Zay B
6. Brandina - Snopy lee & Dully Sykes
7. Kifo cha mpenzi - Taqwa ft Dully sykes
8. Na mwingine siujui jina ni kama bolingo hivi za kibongo. Una maneno haya " Upole wako wa njiwa....sura yako tulivu kama moshi wa ndama"
9. Tembea polepole kama mzee kobe, harakaharaka mama haina baraka- Sam Mangwana au mapangala
10. Sukumawiki mchonganishi
11. Baba kaleta panya - Olduvai band
12. Ni siku ya kupendeza - Olduvai band
13.
 
HUO WIMBO WA CAZ T UNAITWA LAST CHANCE AMEMSHIRIKISHA MAUMATHA.
 
Naombeni tena Wimbo wenye kuimbwa HIV, "sasa vipi wayavimbisha mashavu yako" nahic msanii ni JI
 
Baadh ya maneno ya huo wimbo.... "Mbona umenuna kisa nimechelewa"

Mkuu mi nafkiri ungeongezea mistari kidogo angalau wadau wangeweza kung'amua ni wimbo gani kiongozi. Kwa mie bado sijaujua mkuu. Thanks.
 
Wimbo wa salamu nimpe nani, chaupele mpenzi, hizo zote zimepigwa kama remix na bendi fulani nimesahau jina.
 
Haya Haya wakuu leo TBT
Kuna wimbo flani hivi kama skosei Ni wa Kenya au Uganda
Baadhi ya mashairi yake Haya hapa.
**Bum bumbaa bubumbu bumba uwiiii...
Bum bumbaa bumba bumbaa baa aiyaa**
Hilo dude ni hatar tatizo silijui jina wala muimbaji.
Huwa linagongwa sana club
Wakuu emu fanyeni mautundu tuone.
 
Attachments

Naomba mtu anisaidie ma-file hapa kwangu yananipa alama hiyo na hayafunguki. Nidowload nini yafunguke?
Screenshot_20181215-110207.jpeg
 
Back
Top Bottom