Kuna wimbo unaimbwa yeelo yeelo,yeelo wa zamani sana ni katika old is gold kama kuna anaepata aidia akaujua anipe jina la mwanamuziki alieimba
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

View attachment 628965
 
Mkuu mwenye track ya domokaya na chege- kaunta ya juu aitupie hapa
 
Kuna wimbo unasema NATAKA NIKUJUE SANA ILI NIWE NAYO AMANI NDIPO HAYO MEMA YATAKAVYO NIJIA MIMI ni Gospel YouTube kuna watumishi waliimba chorus tu nautaka wote tafadhari. Nisaidieni.
 
Anayo nyingine inaitwa 'slow'
 
Mwenye nyimbo 2 za Tamu tamu za Mwinjuma
(1).Paulina
(2) Naomi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…