zhang laoshi
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 434
- 581
nyimbo ya sugu chini ya miaka 18
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap yepYa Mike T ni Nyaluland...
Uko sawa Sonel ndo aliimba Posta
Pengo ya Waswahili moja ya ngoma bora sana toka kwa hawa jamaa
Mkuu kama iyo app inaleta hadi ngoma za kitambo,naomba unijuze!Kuna app flani ni nzuri sana kwenye nyimbo yaani ukishajua jina LA wimbo na mpigaji wimbo huo na ukaserch bas ni rahisi sana kupata wimbo huo,
Inaitwa Kenyan girl kenyan boyMwenye nyimbo ya necessary noise sikumbuki jina ila kuna sehem wanajibizana wyre na naaziz wanasema neno Nairobi wanarudiarudia
Yap nimeingia u tube nkaiona mkuu sema haina quality naomba ka unayo unitumie sorryInaitwa Kenyan girl kenyan boy
Kenyan boy unaitwaMwenye nyimbo ya necessary noise sikumbuki jina ila kuna sehem wanajibizana wyre na naaziz wanasema neno Nairobi wanarudiarudia
Fm academia-Prison.Wimbo huu nautafuta sana mkuu.Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Yap nimeingia u tube nkaiona mkuu sema haina quality naomba ka unayo unitumie sorry
Jamani kibao cha African Revolution Band,kinaitwa ..
>paulina.
Mwenye nyimbo 2 za Tamu tamu za Mwinjuma
(1).Paulina
(2) Naomi.....
Kabinti-Bamboo/E sir
nyimbo ya sugu chini ya miaka 18
Ngoja nizipate, thanksMkuu kazileta zote
Napenda bibikizeee napenda kikongweeee leteni hapa
Mwenye nyimbo ya necessary noise sikumbuki jina ila kuna sehem wanajibizana wyre na naaziz wanasema neno Nairobi wanarudiarudia
Fm academia-Prison.Wimbo huu nautafuta sana mkuu.