Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Haya Haya Haya....
Habari zenu wakuu.

Leo JF kumenoga yaani Ni mafataki tu
Yaani Ni Boooooooooooom.. Mpaka mwisho hakuna kupoa ukiandika neno moja tu Boooooooooooom yaani mpaka rahaaaa.
Kweli msimu wa skukuu.

Wakuu em dondosheni mawe ya Christimas hapa bila kusahau ile ya "CHINGOBER"

BOOOOOOOOOOOOM
BOOOOOOOOOOOOM

Noma mwanangu.

Kioo
Idimi
Gwankaja
Kidikudi

Boooooooooooom.
 
Naomba ngoma ya Caz T mwana wa komba -One more chance,,yupo na demu flan hv,,,dah naihitaj sana hii ngoma
 
Imewekwa juzi humu. Ipo hapo juu. Angalia kuanzia ukurasa wa 186. Download
Kaka nmeipata tayali,,,pia Maimatha alitoa ngoma moja hv ilikuwa inaitwa I hate u ,,kama wanachibizana na mwanaume flan hv,,

Dem anajbu i hate u,jamaa anajbu i love u
 
Kaka nmeipata tayali,,,pia Maimatha alitoa ngoma moja hv ilikuwa inaitwa I hate u ,,kama wanachibizana na mwanaume flan hv,,

Dem anajbu i hate u,jamaa anajbu i love u
HII NGOMA NINAYO ILA KUIPANDISHA HAPA NDIO SIWEZI
UNAITWA SIKUTAKI TENA WA DATAZ FT SOGGY DOGY.
 
Back
Top Bottom