Tomasi Sankara
Senior Member
- Oct 6, 2018
- 130
- 73
Wakuu mwenye ngoma ya soggy kibanda cha simu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu mwenye ngoma ya soggy kibanda cha simu
Huu hapa man. Enjoy
Aisee. Mimi natafuta wimbo huu niliokariri mashairi yake tu. Sijui unaitwaje na sijui kaimba nani, maana nilikuwa mdogo.
Aia ia ia i, aiyaooo..aiyaoo... X2
Mkuu kama umeipata hii cha upele usisite kushare namiwakuu,
kwa mwenye wimbo wa chaupele mpenzi naomba auweke hapa
"chaupele mpenzi hayo usemayo kama ni maradhi yapele kwa daktari"
"waniambia niache rhumba na mimi sijazoea..........."
Mkuu ukipata hii ngoma unitagJay Z au Jay Starz?
JITAHIDI UZIDOWNLOAD YOU TUBE ZIPO ILA KAMA KUNA MDAU ANAZO ATAKUTUMIA.Samantha Mumba ft Damian Marley-Im Right Here
Obie trice ft Brick & Lace-Jamaican Girl
Eminem ft Dr Dre & Obie Trice-What U Gonna Do
DMX-We Right Here
Mase ft Total-What You Want
Albino fulani ft sugu, belle 9, Fa-nafasishukran sana mkuu.vp unayo ile anayoimba nataka nafasi...nipeni nafasi,ni kama alikua anaomba nafasi kwenye siasa.ndan anamsifia raisi mkapa
Dakika moja ya ngwear, naisaka mno hii
Cha Upele mpenzi
Nikipata hii kitu weekend kesho itaanza vizuri sana
Kaka nmeipata tayali,,,pia Maimatha alitoa ngoma moja hv ilikuwa inaitwa I hate u ,,kama wanachibizana na mwanaume flan hv,,
Dem anajbu i hate u,jamaa anajbu i love u
Aisee,,poa mkuu ngoja wadau wafanye mambo hapa
Shukran bro!!