Ally mbongo_hawajui ni ngomaa ninayoitafuta
Upo huo tu mkuu!!Kaka gwankaja kama una nyimbo zingine za ali mbongo naomba msaada[emoji120][emoji120][emoji120]
Habari wakuu
Tafadhali Naomba wimbo wa
Mr blue ft Q chief_Nipo nilikuepo na nitakuwepo.
Shukrani wakuu.
Gwankaja
Kioo
Idimi
Dj yusufu_MBEL KWA MBELE msaada wakuu
oya jide anaimba kila mtu anadhambi hio ngoma
ipi boss kati ya hizo..mbona inafunguka kama file sio audio
Wakuu nisaidieni wimbo wa Kikosi...
Wanaimba "ukisanda unaacha game... mmeshindwa kuwakilisha mnaimbia mademu..."
mkuu naiomba hiyo...Kikosi walikuwa wanamnanga Fid Q
Mm ninazo tatzo kuziweka hapa sasaKaka gwankaja kama una nyimbo zingine za ali mbongo naomba msaada[emoji120][emoji120][emoji120]
Marry lukas ft nuruely_nenda
Maunda zorro ft steve rnb_usinihukumu
MSAADA WAKUU[emoji120][emoji120]