Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo mmoja wa dini mwimbaji aliimba kilingala na kiswahili; sina uhakika unaitwaje!! Mwimbaji anaweza kuwa Rose Mhando au flora mbasha!!! Nitafutie ndugu yangu!!! Nimekwishautafuta sana wimbo huo bila mafanikio.
 
Habari wakuu

Tafadhali Naomba wimbo wa

Mr blue ft Q chief_Nipo nilikuepo na nitakuwepo.

Shukrani wakuu.




Gwankaja
Kioo
Idimi
 
Mkuu nisaidie wimbo wa Kikosi... Wanaimba "ukisanda unaacha game... mmeshindwa kuwakilisha mnaimbia mademu..."
 
Wakuu nisaidieni wimbo wa Kikosi...

Wanaimba "ukisanda unaacha game... mmeshindwa kuwakilisha mnaimbia mademu..."
 
Back
Top Bottom