Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Aksante

Lakini sio hii, baada ya kutafuta nimeweza kupata jna la wimbo ila mtandaoni siupat.

UNAITWA UMEONDOKA NI WA AFANDE SELE NA UMEMEONDOKA REMIX! PLEASE HELP ME
Ni kweli bhana...
Umeondoka ft Ditto
Umeondoka rmx ft lady lou
 
Namba mwenye nyimbo hizo ndugu zangu

1.LEKAMBUKE BY CAZ T WA KOMBA

2.SIKUTAKA BY UNIQUE SISTERS SIO WALOIMBA NA DUDU BAYA

3.NIKUPE NINI MAMA BY GK SIYO ULE RMX

4.SIMULIZI ZA UFASAHA BY GANGWE MOBB FT SEKI

5. MWINGINE SIUFAHAMU JINA ILA NI WA LADY JD ALIIMBA KTK ALBAM YA KWANZA UNA MANENO HAYA (Ninachofanya ni kukupenda,milele yote nitakupenda,nakupenda I love youuuuuu!). Tafadhalini jamani
Naomba wiimbo wa Mchizi wangu remix
Mangwair weekend,, daz Nundaz barua
 
Attachments

Nautauta wimbo flani kaimba msanii anaitwa NYASI wimbo unaitwa KUMBUKA MAWAZO msaada wenu wakuu
 
Wakubwa wimbo wa CCM version 2 mpaka sasa sijaupata, ule ambao kaimba khadija kopa humo ndani anamtaja Spika yule mwanamama
 
Naombeni nyimbo hizi;
1-Nakuhitaji by miss Sara ft caz t
2-ester-nimesahau washkaji walioimba ila choras inasema;'nimechoshwa na maringo(ester),nimechoshwa na vituko(ester),nimechoshwa na hzo poz na kujickia kwako,nimechoshwa HV kwa nn hutaki kunielewa mwenzako
3-Mademu wa Leo wanachanganya,mimi na rafiki mpaka tumegombana-kitambo xna hi cjui jamaa gani hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enjoy Mkuu....
 
Attachments

Back
Top Bottom