Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
unaanza hivi

niambie kitu mapenzi queen ee kamari ya karata tatu
wanaocheza majokeri wasiofagilia kuliwaa

kiitikio
ni wewe niwewe asali wa moyo wangu

KIOO
 
unaanza hivi

niambie kitu mapenzi queen ee kamari ya karata tatu
wanaocheza majokeri wasiofagilia kuliwaa

kiitikio
ni wewe niwewe asali wa moyo wangu

KIOO

Much Respekt mkuu. Ntakupa mshindonyuma kiongozi.

Pamoja sana.
 
wakuu natafuta sana nyimbo inaitwa tip top ni ya mb dogy*tip top wa enzi hizo, ipo kwene albam ya 1 kama sio ya 2 ya mb dogy, nliisikiliza sana 2007, till now sijaipata tena.. msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa waliofatilia bongo star search mwaka huu kuna mshiriki anaitwa Asagwile aliimba Les Wanyika ile sina makosa harafu mbeleni akaimba maneno haya"japo ndugu zako hawanitaki naomba picha yako ooh Zella" hayo maneno yapo kwenye wimbo gani wakuu.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye wimbo wa taarab, wa zamani kidogo kiitikio wanaimba maneno haya " nafanya hesabuuu sipati jawabu... mchezo gani huo, wa kurudi nyuma huoo... wa kuacha yako huo... Wa kuruka ukuta huooo..." [emoji444][emoji445]

Cc KIOO gwankaja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom