Hardcore ngoma kali sana..Mwenye nyimbo hizi jaman
1-mganga wa mtoni by bonta
2-hard core by bodea
Sent using Jamii Forums mobile app
Zote hizo tumeweka hapa
Nimefungua kurasa zote mkuu, sijazipata bado hizi nyimbo, Fid Q nimekuta Agost 13, Mziki na mimi na mmoja nimeusahau, nyingine sijaona, Ray C pia nimekuta nne lakini karibia zote ni album ya pili, nataka kuanzia album ya kwanza. Jaydee pia sijaona Naomba mwenye nazo anisaidie hasa hasa
Fid Q- Ripoti za mtaani, juhudi za wasojiweza, Malkia, Mama, Kadi na ua rose, Mwanza mwanza, Sihitaji marafiki n.k
Ray C- Vyovyote, Mapenzi yangu, na nyingine zote
Jide- Wanaume kama mabinti, Binti, Mawazo, n.k
Natamguliza shukrani
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwenye nyimbo hizi jaman
1-mganga wa mtoni by bonta
2-hard core by bodea
Sent using Jamii Forums mobile app
Mk
Mkuu nidomdoshee unanijua unaniskia ya mwana F.A
Shukrani
Profesa Juma BhaloHahahaa anaitwa Juma Bhalo, alishafariki ni mmoja wa wasanii wakubwa wa kenya
Wapizipo
BENDERA YA TANZANIAwimbo wa bendera, ule unaanza benderaaa ya tanzania,ndio ya kujivunia, imeanza kupepea, mwaka sitini na moja....
Wa pili ni wimbo wa Tazama ramani
Wa Patrick BalisidyaWema hawana maishaaa
Nautafuta wimbo
Hali halisi - ulopigwa na
Mike Tee ( Mnyalu) sijui alikuwa na Lady JD
Sent using Jamii Forums mobile app
Natafut wimbo wa Professor Juma Bhalo -Gunia