Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta wimbo wa "Nkurukumbi Nkurukumbi niyo yazaile mainda..."

Uliimbwa na Band moja ya Taarabu/Mipasho ikiwa na makazi yake mjini/jijini Mwanza miaka ya nyuma kidogo...
 
Habar wakuu
Naomba hii ngoma nimeitafuta bila mafanikio.

Mexikana Lakavela_Kamba 2 kamba.

Shukrani.




Idimi
Kioo
Gwankaja
Machungwa.
 
Tafadhali mkuu
Mi naomba top ten(playlist) Kali ya kwaito konki unazozikubali
Naziomba hapa mkuu.

Natanguliza shukran.






#Idimi
Naanza na hizi hapa chini. Twende kazi
 

Attachments

Kwaito nyingine kali hizi hapa.
 

Attachments

Mkuu KIOO gwankaja na Idimi kuna nyimbo mbili za kwaito nazitafuta sana ila sijui waimbaji
(1)Kuna moja unaimbwa ""pwili mbwilipwizi" umeimbwa na madogo Fulani hivi
(2) na mwingine unaimbwa "hai hai hai" ni hivyo tu, tafadhalini sana nisaidieni hizo nyundo.


Smart guy
machungwa hu0 wimbo wa pwilipwiti nimeshaupandisha hapo juu. Download hio kwaito iliyoandikwa "Oskido& Candy....Mandebele". Kama sio hiyo basi nijulishe. Enjoy
 
Back
Top Bottom